Hapo kale nchi za afrika kaskazini zilikua za watu weusi. Waafrika weusi wa leo ndio uzao wa Ham (Mizraim, Cush and Phut). Leo hii wa canaan ni wachache sana au hawapo kabisa kwasababu wengi wao sana walishakufa zamani sana. Mizraim ni ancient Egypyt (wamisri wa kale), Cush ni ancient Ethiopia and Phut ni ancient Libya. Wahabeshi wa leo ni machotara wa kiafrika na kiarabu na hivyo hivyo wasomali. Uchotara huu unaweza ukawa wa miaka zaidi ya 2000.
Kibantu na ubantu ni very complex. Lugha ya kibantu ilikua lugha kuu (lingua franca) ya himaya hizo za kale za watu weusi kwa kipindi fulani kirefu sana. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians, kuna wabantu ambao ni ancient Ethiopians na kuna wabantu ambao ni ancient Libyans. Kuna sehemu ya maneno ya kibantu ambayo ni maneno yaliyo tumiwa na Kizazi cha Noah kabla ya lugha kugawanywa kwenye mnara wa Babel.
Wabantu huenda inamaanisha watoto wa anu na antu, ambao ni miungu ya uwongo ya ancient Sumeria. Ancient Sumeria ipo Sehemu ya Iraq ya leo. Kumbuka kwamba himaya kama Assyria na Babylon zilikua na hamitic phase (Nimrod and company) na Semitic phase Senacherib na Nebuchadnezzar and company.
Makabila ambayo ni pure wafugaji kama wamasai ni direct vitukuu wa ancient Cush (ancient Ethiopians). Kuna uwezekano wamasai ni ancient sabeans, ancient sabeans ni sub-category ya ancient cush. Ancient Ethiopia ni Sudan ya leo, ingawa kuna vipindi vya kale zaidi ambapo ilikua pia sehemu za Iraq, sehemu ya Saudia na Yemen, saa ingine hadi sehemu ya India na sehemu ya cambodia.
Makabila ambayo yanachanganya kilimo na ufugaji na yana ishi karibia na mto Nile au Lake Victoria kama Waluo hawa watakua ancient Egyptians au ancient ethiopians. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians (hususan wale wa river Nile and Lake Victoria area kama wahaya, wabaganda). Wachagga, Wakikuyu na Wakamba wanaweza kua ancient Egyptians au ancient Libyans, lakini kuna probability kubwa wakawa ancient Libyans. Mataifa ya ancient Libya, Egypt na Ethiopia yalikua na muingiliano mkubwa. Kuna vipindi virefu sana ambvyo mafarao wa Ethiopia na Libya walitawala Misri and vice-versa.
Kuna jamii za waafrika weusi (especially wamisri wa kale) ambazo huko zamani sana walikua wanamchukia na wanabishana sana na Mungu wa Israel (na watakatifu wake) na walikua na akili sana, mafanikio sana, utajiri mwingi sana na kiburi sana. Pia walikua wanapenda sana sensual sins.
Ina sadikika kwamba kutokana na ubishi na kiburi cha hawa jamaa, Mungu wa Israel ali waadhibu waafrika weusi kwa kuwashusha chini sana sana kimaendeleo kwa kipindi kirefu sana sana mpaka leo hii afrika haija recover sawa sawa. Kushushwa huko kulipelekea kuja kwa ukoloni, utumwa na kukaliwa kwa afrika kaskazini na watu wa jamii ya kiarabu (waarabu weupe, wa-semites).
Ham ndo alikua mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Noah, Shem alikua wa pili, Japheth alikua watatu. Canaan ndie aliefanya kosa lile, Noah akamlaani Caanan. Akampa Shem haki za mtoto wa kwanza na akambariki Japheth pia, Ham hakutajwa kwenye Baraka zile, lakini pia hakulaaniwa. So ikawa Shem, Ham and Japheth. Na Yesu akaja kupitia uzao wa Shem, Abraham, Isaac na Jacob. So the right of the first born son and the holy and royal line of the priest hood aliipata Shem. Wakristo kupitia Yesu ni warithi wa kiroho wa hiyo right of first born. Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
Japheth ni baba wa wazungu na Shem ni baba wa waebrania (waisraeli wa zamani), waarabu weupe na mataifa ya mashariki ya kati. Baada ya Kutawanywa kwa wajenzi wa mnara wa Babeli, Mungu wa Israel aliunda mataifa 70 ambayo yalitokana na Shem, Ham na Japheth. Na watu wote walioko duniani leo ni vitukuu vya hayo mataifa 70.
So umeona origin ya waafrika weusi (including Wahaya)