Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Ukitaka kujua kwanini wahaya wana akili sana na asili ya senene soma Kitabu cha Kutoka 16:1-36 then utapata majibu
 
yawezekana ni kweli ...lkn pia wahaya wanaongoza kwa misuli minene (kusoma sana aka kumeza) wakiwa mashuleni.....
 
Nimesoma na Wahaya wengi wanamajina mazuri ya mbwembwe kuliko hata wazungu(wanajisifu sana)

Kuhusu darasani wapo Kama Wanafunzi wengine tuu
 
Huyo mtaalamu amesema kweli kabisa. Nipo Kaisho na watoto tunakula sana senene na matunda adimu yaitwayo amashaza achilia mbali ndizi kwa wingi zilizochanganywa na vitu vya asili vingi ikiwemo entura! Naona matokeo chanya hapa kama anavyosema mtaalamu ...🤣🤣

Vitu vingapi vilishavumbuliwa hapo Kaisho?
 
Mbona mkoa wa Morogoro una sifa ya kusitawi aina nyingi ya mazao lakini sifa hii ya akili haipo kama hiyo mikoa mingine, unadhani ni nini sababu?
Hahahaa na kweli moro iko poa sana kwa chakula ila walugulu ni weupeeee kichwani wamechomaa mlima wote kisa wanatafuta ndezi.....samahani watani zangu hahaaa
 
Nakumbuka siku chache zilizopita kilaini alisema watu wa kagera wahamasishwe kulima mazao mengine ili kuepusha janga la utapiamlo
 
Akili yao imesaidia vipi taifa na jamii kwa ujumla,? Maana tupo nao huku street hatuoni hizo akili walizonazo

Ungelijua hata hii JF mwanzilishi ni kutoka huko wala husingeandika haya.

Naweza kukubalina na hoja hii. maana natazama creativity nyingi zinazonazishwa Tanzania ama kuna mkono wa mhaya au mhaya ndiye mwanzilishi.

Hata hiyo Clouds,Fiesta na wasafi waliobuni ni wahaya tu. Ukitaka naweza kukutajia majina yao
 
[emoji3][emoji3][emoji3] fafanua maji gani. Wanayo maji ya kunywa mazuri sana yanaitwa buhene sijui buhe nini nimesahau
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Utelezi wenye tope . Na ukijinasua hupiti tena mto huo.
 
Ungelijua hata hii JF mwanzilishi ni kutoka huko wala husingeandika haya.

Naweza kukubalina na hoja hii. maana natazama creativity nyingi zinazonazishwa Tanzania ama kuna mkono wa mhaya au mhaya ndiye mwanzilishi.

Hata hiyo Clouds,Fiesta na wasafi waliobuni ni wahaya tu. Ukitaka naweza kukutajia majina yao
Wenye akili wapo lkn haimaanishi mmewazidi wengine. Wapo makabila mengine nao ni waanzilishi wa Mambo makubwa. Hampo special kihivyo, kawaida sana
 
Wenye akili wapo lkn haimaanishi mmewazidi wengine. Wapo makabila mengine nao ni waanzilishi wa Mambo makubwa. Hampo special kihivyo, kawaida sana

Dadangu mimi sitoki huko lakini ukitazama creativity nyingi hasa zenye branding ya maana kuna Mhaya behind.
Jaribu kutaja hata moja nikwambie mhaya aliyepo.

nimeambiwa kuwa hata BSS mwanzilishi ni kutoka Karagwe huko huko
 
Sio kweli. Orodhesha hapa tufahamu
 
Akili yao imesaidia vipi taifa na jamii kwa ujumla,? Maana tupo nao huku street hatuoni hizo akili walizonazo
Huku maDiaspora wengi ni from Kagera,Bukoba... saa inine unajiuliza TZ hakuna other tribes..!! au bongo za wahaya zina Market worldwide? changamkieni elimu....
 
Back
Top Bottom