Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Ukitaka kujua kwanini wahaya wana akili sana na asili ya senene soma Kitabu cha Kutoka 16:1-36 then utapata majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlikuwa wahaya peke yenu kwenye hiyo shule?Mimi ni wa huko. Siwezi kusema kwamba nina akili. Ila serikali iliyonichagua nikasome sekondari ya watoto wenye vipaji maalum (Mzumbe) huenda waliona ninazo.
Mbona unajisifia kwa sauti ya chiniMimi ni wa huko. Siwezi kusema kwamba nina akili. Ila serikali iliyonichagua nikasome sekondari ya watoto wenye vipaji maalum (Mzumbe) huenda waliona ninazo.
Huyo mtaalamu amesema kweli kabisa. Nipo Kaisho na watoto tunakula sana senene na matunda adimu yaitwayo amashaza achilia mbali ndizi kwa wingi zilizochanganywa na vitu vya asili vingi ikiwemo entura! Naona matokeo chanya hapa kama anavyosema mtaalamu ...🤣🤣
Hahahaa na kweli moro iko poa sana kwa chakula ila walugulu ni weupeeee kichwani wamechomaa mlima wote kisa wanatafuta ndezi.....samahani watani zangu hahaaaMbona mkoa wa Morogoro una sifa ya kusitawi aina nyingi ya mazao lakini sifa hii ya akili haipo kama hiyo mikoa mingine, unadhani ni nini sababu?
Umekosea kidogo ni cha maji [emoji40][emoji23][emoji1787]Wana kiwanda cha katerero
[emoji3][emoji3][emoji3] fafanua maji gani. Wanayo maji ya kunywa mazuri sana yanaitwa buhene sijui buhe nini nimesahauUmekosea kidogo ni cha maji [emoji40][emoji23][emoji1787]
Tulikuwa wengi. Ila wenye akili zaidi walikuwa wanatokea 'huko'.Mlikuwa wahaya peke yenu kwenye hiyo shule?
Akili yao imesaidia vipi taifa na jamii kwa ujumla,? Maana tupo nao huku street hatuoni hizo akili walizonazo
Acha uongoTulikuwa wengi. Ila wenye akili zaidi walikuwa wanatokea 'huko'.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Utelezi wenye tope . Na ukijinasua hupiti tena mto huo.[emoji3][emoji3][emoji3] fafanua maji gani. Wanayo maji ya kunywa mazuri sana yanaitwa buhene sijui buhe nini nimesahau
Wenye akili wapo lkn haimaanishi mmewazidi wengine. Wapo makabila mengine nao ni waanzilishi wa Mambo makubwa. Hampo special kihivyo, kawaida sanaUngelijua hata hii JF mwanzilishi ni kutoka huko wala husingeandika haya.
Naweza kukubalina na hoja hii. maana natazama creativity nyingi zinazonazishwa Tanzania ama kuna mkono wa mhaya au mhaya ndiye mwanzilishi.
Hata hiyo Clouds,Fiesta na wasafi waliobuni ni wahaya tu. Ukitaka naweza kukutajia majina yao
Wenye akili wapo lkn haimaanishi mmewazidi wengine. Wapo makabila mengine nao ni waanzilishi wa Mambo makubwa. Hampo special kihivyo, kawaida sana
Sio kweli. Orodhesha hapa tufahamuDadangu mimi sitoki huko lakini ukitazama creativity nyingi hasa zenye branding ya maana kuna Mhaya behind.
Jaribu kutaja hata moja nikwambie mhaya aliyepo.
nimeambiwa kuwa hata BSS mwanzilishi ni kutoka Karagwe huko huko
Huku maDiaspora wengi ni from Kagera,Bukoba... saa inine unajiuliza TZ hakuna other tribes..!! au bongo za wahaya zina Market worldwide? changamkieni elimu....Akili yao imesaidia vipi taifa na jamii kwa ujumla,? Maana tupo nao huku street hatuoni hizo akili walizonazo