Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndo maana nikauliza make sijaona tofauti. Fast jet kuna wakati wanashuka mpaka 280000/kwenda no kurudi. Atcl mpaka inakufa ilikua 150000/- single tripMbona sawa na nauli za fast jet
Go and return za ndege haziko hivyo mkuu, ikiwa one way ni 160,000, kwenda na kurudi inaweza kuwa 270,000Basi mororooo, mapanga shaaaaaaa!
160,000 one way, two way 320,000/-. Au kuna punguzo? Watabaki kupanda wale wale. Na ATCL ina madeni ya Nyuma. Kila senti itaenda kulipa deni. Mpaka 2025 madeni yatakuwa bado hayajaisha. Atakuja Rais mwingine atapuyanga na yake.
Kumbe inaweza kuwa, ila huna uhakika sio?Go and return za ndege haziko hivyo mkuu, ikiwa one way ni 160,000, kwenda na kurudi inaweza kuwa 270,000
Kama ni one way inawezekana. Ngoja niangalie website yao.Hii taarifa haina ukweli wowote
Dogo kwa hiyo hadi kuwe na online booking system?...unatawaliwa na chuki,hasira....sasa hapo kilichokuudhi nini?Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.
Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.
Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Kila kitu negative,bavicha mnaumwa na nini?Basi mororooo, mapanga shaaaaaaa!
160,000 one way, two way 320,000/-. Au kuna punguzo? Watabaki kupanda wale wale. Na ATCL ina madeni ya Nyuma. Kila senti itaenda kulipa deni. Mpaka 2025 madeni yatakuwa bado hayajaisha. Atakuja Rais mwingine atapuyanga na yake.
Nitawaliwe na chuki ya nini?Mimi niko huru...ninapongeza na kukosoa panapostahili...Dogo kwa hiyo hadi kuwe na online booking system?...unatawaliwa na chuki,hasira....sasa hapo kilichokuudhi nini?