machoalbi
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 404
- 351
nimekuja mbio nikidhani elfu thelathin go return. Bado ni ghali sana. Bora basi tu na bodaboda
Hiyo nauli ya 30,000 hata Canada hizi ndege zilikotoka hakuna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuja mbio nikidhani elfu thelathin go return. Bado ni ghali sana. Bora basi tu na bodaboda
Mna uwanja?Dar to Songea vipi mbona sioni
yani kama tungenunu
kwanini isiwe hivyo? Mafuta yameshuka kwenye soko la dunia. Pia serekali haitatoza kodi hayo mafuta. Viwanja vya ndege ni mali ya serikali. Inawezekana iwapo tu tutakuwa wazalendoHiyo nauli ya 30,000 hata Canada hizi ndege zilikotoka hakuna!
Kwa vyovyote vile huwa haiwi exact double!Kumbe inaweza kuwa, ila huna uhakika sio?
Hiyo ni kwenda na kurudi. Kumbuka gharama ya mafuta kwenda na kurudi Mwanza ni shs million 2 tu. ATCL wamekodisha hizo ndege bure toka serikalini, hakuna walichowekeza kwenye hizo ndege.ATCL linamilikiwa 100% na serikali hata mishahara yao serikali inaweza kuwalipa ikiamua ila kwa sasa itatokana na faida wataoipata baada ya kutoa running cost.Hiyo ni kwenda na kurudi au kwenda tu?
Pole.yani kama tungenunu
kwanini isiwe hivyo? Mafuta yameshuka kwenye soko la dunia. Pia serekali haitatoza kodi hayo mafuta. Viwanja vya ndege ni mali ya serikali. Inawezekana iwapo tu tutakuwa wazalendo
Go and return za ndege haziko hivyo mkuu, ikiwa one way ni 160,000, kwenda na kurudi inaweza kuwa 270,000
160, 000 kama siwahi sanaa nitapanda Yutong Tu Luxury ... Haya mapanga boy hata Raha hutoona kwa hela hiyo yoteee bora upande ya 45000 na TV unaonaGo and return za ndege haziko hivyo mkuu, ikiwa one way ni 160,000, kwenda na kurudi inaweza kuwa 270,000