Haya bei hizo kwa wale wasafiri wa ATCL

Haya bei hizo kwa wale wasafiri wa ATCL

Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.

Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.

Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Kwa taarifa hii Moderator futeni huu uzushi umewekwa huyu Wakudadavuwa
 
Kama ni one way inawezekana. Ngoja niangalie website yao.
Hiyo ni one way...halafu user interface ya website ya atcl inabidi iboreshwe...kufanya booking nimetumia dakika 30 kutafuta flight, nimeambiwa 'loading' kwa zaidi ya dakika 30 hadi kukata tamaa.
Ndiyo maana nimekuwa nikiuliza kufahamu strategic plan ya kufufua atcl inahusu ununuzi wa ndege tu?
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    258.5 KB · Views: 30
Dar-Kigoma...one way ni 460,000 tu
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    208.1 KB · Views: 25
Uchumi wa Kati tutaufikia, Usafiri wa muda mfupi kwenda mwanza na Arusha unafanya biashara na kurudi Dar siku hiyo hiyo.

Hapa kazi tu .

Haaaah leta tangazo lenyewe tuone........

Huu ni kama uchochezi tuuu....
 
Mbona hii nauli ya mwendo kasi ni nzuri sana na bus la Scandinavia enzi mafisadi wamewekeza kule
 
Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.

Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.

Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Mara nyingine nawe unamatatizo sana! Unajuaje kama alieleta hii habari ni kutoka Lumumba na sio kutoka Ufipa wakiongozwa na Ben saanane na mwezake yericko
 
Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.

Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.

Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Ama ni mbinu ya kibiashara mleta mada ametumika tu kuweka hii humu kama kipima joto kutaka kuona wadau tutasemaje kuhusu bei wanazotegemea bodi kuweka.

Kwa mtazamo wangu hiyo nauli iko juu, nimewahi kupanda Precision Air Dar - Mwanza kwa sh 60000 kwa booking ya mapema.
 
Wa
Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.

Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.

Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Walishaleta ndege!!! Ni akina nani hao? Pengine ni kwa upuuzi wangu pekee. Awali nilifikiri hizi ndege zimeletwa na serikali yetu na kumbe kuna baadhi ya raia hapa hapa wenyewe wanahisi serikali hii si yao na wanasubili pengine serikari ya kwao. Chuki, ujinga, upumbavu na upuuzi wote umewajaa. Wako tayari kufanya hata usaliti wowote kwa nchi ili ionekane walioko madarakani wamefeli. Aibu na ujinga wa kiasi cha kutisha.
 
MODE TAFADHALI IONDOE HII MADA HAINA TIJA YOYOTE.
 
Sasa kama hiyo ni ofa bei halali ni sh ngapi.?
 
mkuu,najua wewe na najmunisa ni kama mate na ulimi,hutapanda ndege kwenda mwanza
Dogo kwa hiyo hadi kuwe na online booking system?...unatawaliwa na chuki,hasira....sasa hapo kilichokuudhi nini?
 
Back
Top Bottom