Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa taarifa hii Moderator futeni huu uzushi umewekwa huyu WakudadavuwaMleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.
Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.
Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Elimu bure, na usafiri wa ndege unataka uwe bure???Ndo maana nikauliza make sijaona tofauti. Fast jet kuna wakati wanashuka mpaka 280000/kwenda no kurudi. Atcl mpaka inakufa ilikua 150000/- single trip
Hiyo ni one way...halafu user interface ya website ya atcl inabidi iboreshwe...kufanya booking nimetumia dakika 30 kutafuta flight, nimeambiwa 'loading' kwa zaidi ya dakika 30 hadi kukata tamaa.Kama ni one way inawezekana. Ngoja niangalie website yao.
Mara nyingine nawe unamatatizo sana! Unajuaje kama alieleta hii habari ni kutoka Lumumba na sio kutoka Ufipa wakiongozwa na Ben saanane na mwezake yerickoMleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.
Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.
Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Fast jet iko hivo... labda kwa hawa ngoja tuone..Go and return za ndege haziko hivyo mkuu, ikiwa one way ni 160,000, kwenda na kurudi inaweza kuwa 270,000
Huko tutakuwa hatuendi!Mwanza to Bukoba?
Ama ni mbinu ya kibiashara mleta mada ametumika tu kuweka hii humu kama kipima joto kutaka kuona wadau tutasemaje kuhusu bei wanazotegemea bodi kuweka.Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.
Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.
Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Walishaleta ndege!!! Ni akina nani hao? Pengine ni kwa upuuzi wangu pekee. Awali nilifikiri hizi ndege zimeletwa na serikali yetu na kumbe kuna baadhi ya raia hapa hapa wenyewe wanahisi serikali hii si yao na wanasubili pengine serikari ya kwao. Chuki, ujinga, upumbavu na upuuzi wote umewajaa. Wako tayari kufanya hata usaliti wowote kwa nchi ili ionekane walioko madarakani wamefeli. Aibu na ujinga wa kiasi cha kutisha.Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.
Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.
Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Chukua jambo la msingi kuwa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi kuna unafuu, wazoefu wanalijua hiloKumbe inaweza kuwa, ila huna uhakika sio?
Okay, hata kwenye pangaboi a.k.a bajaj?Chukua jambo la msingi kuwa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi kuna unafuu, wazoefu wanalijua hilo
Dogo kwa hiyo hadi kuwe na online booking system?...unatawaliwa na chuki,hasira....sasa hapo kilichokuudhi nini?