Haya chukueni upesi haya yafuatayo kutoka kambini huko nchini Ivory Coast

Haina shida hiyo hata serikalini, jeshini, polisi watu Wana watu wao muda mwingine mambo yanazidi nashindwa kuzijuia hujasikia mtaani classified dokomenti zikivuja
Anyway, kwa mtazamo wako kochavmkuu unamuelewa?
 
Plan ilikua kupunguza athari na goli tulizofunhwa ni chache kulingana na ubora wa mpinzani tuliye cheza naye.
Credit kwa kocha na wachezji wamejituma na wamepunguza maafa.
Kucheza rafu si mpango wa mwalimu bali ni kuzidiwa maarifa katika kucheza.
We nae, hujaona msumbiji kuwapiga misri waliponea chukuchuku, Namibia kuwadungua Tunisia, lengovla la michuona hiii ni kuwapa vijana fursa ya kutangaza vipaji vyao ili wapate soko la kimataifa na wawekezaji kupata sehemu ya kuelekeza mitaji yao, michuona ikiisha tanzania tutapata nini
 
Plan ilikua kupunguza athari na goli tulizofunhwa ni chache kulingana na ubora wa mpinzani tuliye cheza naye.
Credit kwa kocha na wachezji wamejituma na wamepunguza maafa.
Kucheza rafu si mpango wa mwalimu bali ni kuzidiwa maarifa katika kucheza.
Kocha hatufai huyu
 
Kocha alishawaambia MACCM yameenda kutalii.....mmesahau.
 
kocha yoyote mwenye akili timamu hawezi kumpanga huyu kenge Kibu Denis. Mchezaji anatumia nguvu asilimia 99 na akili salimia 1 pekee wa nini sasa. Toka abadili uraia hakuna added value yoyote kwenye national team.
 
Mbona humsemi kwa kumpanga golini mchovu Manula anayefurahua kupigwa robo, na Mohamed Husseni babu!
 
Huyu kocha ni Nani amemleta ? Usikute ni dalali ameleta dalali .
 
Samatta hata akiwa PAOK hamalizagi dakika 90...anayebisha anipe ushahidi hata mmoja..na sio PAoK tu hata kule Royal Antwerp.

Sasa kwann leo iwe nongwa kutolewa?
Duh,mpira una kazi kuujua...kwahiyo kwakuwa kule PAOK hamalizi dakika 90 na huku asimalize.....unafanya sub kwa kuangalia hali ya mchezo au kwa kuangalia historia?

SHULE MLIENDAGA KUSOMEA UJINGA?
 
Hata mimi kocha nimeamza kumshtukia kwakweli. Haiwezekani Kibu asianze tena anayeanza ni mchezaji wa kawaida sana kwa Kibu. Haeleweki mpango wake ilikua ni nini kushambulia au kulinda tu.
Kibu ana kitu gani cha ziada hasa? au ni hisia zetu
 
kocha yoyote mwenye akili timamu hawezi kumpanga huyu kenge Kibu Denis. Mchezaji anatumia nguvu asilimia 99 na akili salimia 1 pekee wa nini sasa. Toka abadili uraia hakuna added value yoyote kwenye national team.
Hata kumwita kwenye timu mchezaji mwenye kiwango kama Kibu ni utaahira
 
NYANI NI NYANI TU HATA AKIWA ULAYA NI NYANI TU CC WAFRICA TUNAFANANISHWA NA MANYANI KWASABABU YA AKILI ZETU. HUYU ALIYEANDIKA HAPA NDO NYANI MWENYEWE
 
Hivi uwa mnafuatilia ao msumbiji au Namibia mjue wachezaji wao wanao shiriki kwenye Aya mashindano wameitwa wakitokea vilabu Gani? Msikurupuke kujifananisha na timu ambazo Zina wazizidi bila kujua kwanini zinawazidi na zinawazidi katika maeneo Gani.
Sisi Tanzania kwa maana ya kuwa na wachezji wanao tokea katika ligi zenye ushindani ni wa mwisho katika timu shiriki.
Sisi tunajivunia ligi yetu kuwa ya Tano Afrika wenzetu ao wachezaji wengi hawachezi Afrika na kama wapo wachache wanao cheza basi wanaocheza ligi zenye ushindani mkubwa kuliko yetu.
 
Kwa wachezaji waliopo kikosini hakuna mchezaji wa kumuweka benchi Kibu Denis Prosper labda kama kuna namna nyingne ila kiukweli Kibu D ni wakucheza dk 90 kila game ya stars
 
Nani anajali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…