Kwa hilo tangazo tajwaUkiona unaitwa kwenye fursa, basi ujue wewe ndio fursa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ukiona unaitwa kwenye fursa, basi ujue wewe ndio fursa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sio uoga na uvivu mkuu ameongea ukweli siku zote fursa unatafuta mwenyewe kwa kuumiza kichwa na kutumia akili yako ndipo utaona faida lakini ukianza kutafutiwa ujue unaenda kuwa mtaji wa waliyoitafutaUmesababisha nimecheka kama kichaa, huu uwoga na uvivu wa Watanzania umewalemaza jameni, hii hafla imeandaliwa, kuratibiwa na kudhaminiwa na serikali yenu lakini bado mna uwoga. Hivi mtaamka lini, jameni nyie bana......hehehe yaani kicheko tu!!
Sio uoga na uvivu mkuu ameongea ukweli siku zote fursa unatafuta mwenyewe kwa kuumiza kichwa na kutumia akili yako ndipo utaona faida lakini ukianza kutafutiwa ujue unaenda kuwa mtaji wa waliyoitafuta
You should because there's no Kenya without the working Tanzania nashangaa hamuishi dhihaka kwa watanzania kwamba wavivu wakati zaidi ya 60% ya raw materials za Kenyan industries zinatoka TanzaniaNice one,i must visit
Hayo maonesho tumekua tukiyafanya Rwanda, Burundi, Congo sio jambo geni kwa Tanzania kujitangaza kimataifqSio uoga na uvivu mkuu ameongea ukweli siku zote fursa unatafuta mwenyewe kwa kuumiza kichwa na kutumia akili yako ndipo utaona faida lakini ukianza kutafutiwa ujue unaenda kuwa mtaji wa waliyoitafuta
Wewe kijana huwa una matatizo mengi sana hii kauli yenu kwamba watanzania ni wavivu hua inanishangaza sana,Umesababisha nimecheka kama kichaa, huu uwoga na uvivu wa Watanzania umewalemaza jameni, hii hafla imeandaliwa, kuratibiwa na kudhaminiwa na serikali yenu lakini bado mna uwoga. Hivi mtaamka lini, jameni nyie bana......hehehe yaani kicheko tu!!
Wewe kijana huwa una matatizo mengi sana hii kauli yenu kwamba watanzania ni wavivu hua inanishangaza sana,
Ingia Tanzania nikupe nauli ufanye road tour kutoka tu Kilimanjaro mpaka Singida kilometers zaidi ya 1500 unitafutie shamba moja ambapo sio reserved area ambapo hapajalimwa mkoa wa Manyara tu kwa mahindi na maarage yaliyolimwa msimu huu yanaweza kuilisha Kenya nzima na South Sudan
Kama mamilioni ya ekari yaliyolimwa ni jembe lingekua linatumika wangechukua miaka 10 nyie wakenya mnafikiri Tanzania ya leo ni Ile ya 90sHehehe!! Wacha kuwa kichekesho, watu wanajadili mambo serious, njoo uonyeshe vitu mnavyozalisha kwenye viwanda. Sasa nije Singida kuona unavyolima kwa kutumia jembe.....umevurugwa.
Umeambiwa hii hafla imeandaliwa na kuratibiwa na Serikali yenu. Kwahiyo hata Serikali yenu hamuiamini?. Watanzania bado mnasafari ndefu sanaSio uoga na uvivu mkuu ameongea ukweli siku zote fursa unatafuta mwenyewe kwa kuumiza kichwa na kutumia akili yako ndipo utaona faida lakini ukianza kutafutiwa ujue unaenda kuwa mtaji wa waliyoitafuta
Umekariri vibayaUkiona unaitwa kwenye fursa, basi ujue wewe ndio fursa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwa hilo tangazo tajwa
Sie tunakuwaje fursa Mkuu?
Let them visit the site watuambie kama kuna mkenya hata mmoja organiser, all are tanzanians,ignorance is very destructive anywayndio maana tz leo iko LDC...wakiona fursa inatoka nje hawaioni kama fursa ya kujijenga...wanaiona kama jinsi ya kuibiwa...nimeiona tabia hii hata mpaka kwa rais...yaani ujamaa umewaadhiri sana nyie watu...hamna hata chembe moja cha kibepari...yaani mmeshaambiwa ni serikali yenu ilioandaa hafla ila watu bado wanaogopa...business is all about risk-taking...nimewadharau sana...biashara hamwijui kabisa