Haya fursa hii ndani ya Kenya kwa Watanzania, muache desturi ya kulialia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii nimeiona kwenye mitandao kwamba kuna hafla ya kutangaza huduma na bidhaa za Tanzania ndani ya Kenya. Naona hata wenye hafla wameganda hawaitangazi ipasavyo, na hata Watanzania wanaotangaziwa wataishia kushangaa shangaa bila kuchangamkia fursa ya kuja na kujinadi, hatimaye waendelee na vile vilio vya kila siku eti wanaonewa kwenye trade balance.

Njooni mjitangaze, binafsi nitahudhuria ili kujionea nini mnacho ambacho naweza kukichangamkia kwenye ulimwengu wa biashara.

AKIDA-WEB.jpg

http://tanzaniakenya.com/
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa, basi ujue wewe ndio fursa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Umesababisha nimecheka kama kichaa, huu uwoga na uvivu wa Watanzania umewalemaza jameni, hii hafla imeandaliwa, kuratibiwa na kudhaminiwa na serikali yenu lakini bado mna uwoga. Hivi mtaamka lini, jameni nyie bana......hehehe yaani kicheko tu!!
 
Sio uoga na uvivu mkuu ameongea ukweli siku zote fursa unatafuta mwenyewe kwa kuumiza kichwa na kutumia akili yako ndipo utaona faida lakini ukianza kutafutiwa ujue unaenda kuwa mtaji wa waliyoitafuta
 
Mara nyingi huwa napata maswali kwenye inbox yangu, Watanzania wakiniuliza kuhusu jinsi wanaweza kunadi bidhaa zao Kenya, sasa hapa serikali yenu kwa ushirikiano na ya kwetu wameandaa hafla ambayo itawaleta Wakenya kuja kujionea huduma na bidhaa za Watanzania, hivyo usiumize akili, njoo utuonyeshe nini hicho unaweza kutuuzia.
 
Nice one,i must visit
You should because there's no Kenya without the working Tanzania nashangaa hamuishi dhihaka kwa watanzania kwamba wavivu wakati zaidi ya 60% ya raw materials za Kenyan industries zinatoka Tanzania
 
Sio uoga na uvivu mkuu ameongea ukweli siku zote fursa unatafuta mwenyewe kwa kuumiza kichwa na kutumia akili yako ndipo utaona faida lakini ukianza kutafutiwa ujue unaenda kuwa mtaji wa waliyoitafuta
Hayo maonesho tumekua tukiyafanya Rwanda, Burundi, Congo sio jambo geni kwa Tanzania kujitangaza kimataifq
 
Umesababisha nimecheka kama kichaa, huu uwoga na uvivu wa Watanzania umewalemaza jameni, hii hafla imeandaliwa, kuratibiwa na kudhaminiwa na serikali yenu lakini bado mna uwoga. Hivi mtaamka lini, jameni nyie bana......hehehe yaani kicheko tu!!
Wewe kijana huwa una matatizo mengi sana hii kauli yenu kwamba watanzania ni wavivu hua inanishangaza sana,

Ingia Tanzania nikupe nauli ufanye road tour kutoka tu Kilimanjaro mpaka Singida kilometers zaidi ya 1500 unitafutie shamba moja ambapo sio reserved area ambapo hapajalimwa mkoa wa Manyara tu kwa mahindi na maarage yaliyolimwa msimu huu yanaweza kuilisha Kenya nzima na South Sudan
 
Hehehe!! Wacha kuwa kichekesho, watu wanajadili mambo serious, njoo uonyeshe vitu mnavyozalisha kwenye viwanda. Sasa nije Singida kuona unavyolima kwa kutumia jembe.....umevurugwa.
 
Kama mamilioni ya ekari yaliyolimwa ni jembe lingekua linatumika wangechukua miaka 10 nyie wakenya mnafikiri Tanzania ya leo ni Ile ya 90s
 
I hope hii itakuwa nzuri: nilikwenda Kenya kuzungukia masoko ya machungwa yanayolimwa Muheza, Handeni na Korogwe. Nilichokutana nacho kwenye masoko ya Mombasa, Nairobi, Nakuru, Kisumu na Eldoret ni kuwa Wakenya (traders) wanalalamika bei na utaratibu wa madalali uliopo Tz. Hata hivyo wakulima na trader wa machungwa Tz wanalalamika the same madalali.
Hivyo hiyo function ya Tz na Ke ni fursa nzuri kwa wafanyabiashara wa pande zote ku-establish contacts na kufanya makubaliano.
 
Sio uoga na uvivu mkuu ameongea ukweli siku zote fursa unatafuta mwenyewe kwa kuumiza kichwa na kutumia akili yako ndipo utaona faida lakini ukianza kutafutiwa ujue unaenda kuwa mtaji wa waliyoitafuta
Umeambiwa hii hafla imeandaliwa na kuratibiwa na Serikali yenu. Kwahiyo hata Serikali yenu hamuiamini?. Watanzania bado mnasafari ndefu sana
 
ndio maana tz leo iko LDC...wakiona fursa inatoka nje hawaioni kama fursa ya kujijenga...wanaiona kama jinsi ya kuibiwa...nimeiona tabia hii hata mpaka kwa rais...yaani ujamaa umewaadhiri sana nyie watu...hamna hata chembe moja cha kibepari...yaani mmeshaambiwa ni serikali yenu ilioandaa hafla ila watu bado wanaogopa...business is all about risk-taking...nimewadharau sana...biashara hamwijui kabisa
 
Let them visit the site watuambie kama kuna mkenya hata mmoja organiser, all are tanzanians,ignorance is very destructive anyway
 
Back
Top Bottom