MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hii nimeiona kwenye mitandao kwamba kuna hafla ya kutangaza huduma na bidhaa za Tanzania ndani ya Kenya. Naona hata wenye hafla wameganda hawaitangazi ipasavyo, na hata Watanzania wanaotangaziwa wataishia kushangaa shangaa bila kuchangamkia fursa ya kuja na kujinadi, hatimaye waendelee na vile vilio vya kila siku eti wanaonewa kwenye trade balance.
Njooni mjitangaze, binafsi nitahudhuria ili kujionea nini mnacho ambacho naweza kukichangamkia kwenye ulimwengu wa biashara.
http://tanzaniakenya.com/
Njooni mjitangaze, binafsi nitahudhuria ili kujionea nini mnacho ambacho naweza kukichangamkia kwenye ulimwengu wa biashara.
http://tanzaniakenya.com/