Haya hapa madhara kwa Tanzania endapo haitatekeleza masharti ya Jumuiya ya Madola

Hivi #besigye mbona haangaliwi kabisa na hizi taasisi,zinazojitanabaisha za kimataifa,
#FREE_KIIZA_BESIGYE....
Kuna jambo lolote unalijua kuhusu Besigye? Unaweza kuilinganisha kesi ya Besigye na Mauaji ya waTanzania?
 
Hivi jamani mbona Tanzania ni kitu kidogo tu kinachotakiwa kufanyika ? Free Tundu Lissu kwanza harakati zingine ziendelee... Hawa wanaong'anania madarakani kwani nchi hii wamepangiwa wao tu ?

Historia huwa inajirudia mara kwa mara lakini kwanini hawataki kujifunza ? Frankly inakera sana na huu uminyaji na ukandamizwaji wa haki za Mtanzania mwenzako.
If you give them an inch they will ask for a mile.
 
Hivi #besigye mbona haangaliwi kabisa na hizi taasisi,zinazojitanabaisha za kimataifa,
#FREE_KIIZA_BESIGYE....
Besigye ...wanasubiri huo unaoitwa ushahidi...
Besigye...Mamlaka za Uganda ziliomba muda kwa taasisi za kimataifa kwamba jamaa alikuwa na mpango wa kuingiza silaha...na pia kumuua M7

Sasa Kila siku Kuna Danadana pia...
Nakuhakikishia ikifika mwishoni mwa mwaka huu kama hakuna kinachoendelea kwa Besigye..utaona pressure kwa Uganda

Kwa Lissu kinachombeba ni Toka mwanzo kesi haieleweki..na Danadana haziishi

Mbaya zaidi kawabana mawakili wa Serikali Hadi core evidence wanayoona inafaa (video ya kukinukisha) kukataliwa Mahakamani...

Sasa hata ingekubaliwa Mahakama ingeangalia kama neno kukinukisha ni uhaini...yaani ni shida tupu
Pia Kila kesi ya Lissu Kuna wawakilishi wa kimataifa..wanafuatilia na kupeleka taarifa
 
Alitamka kwa mdomo wake ""TUTAHASI" NA NENO,""TUTAHAKIKISHA NCHI"""HAITAWALIKI"" HAYA ALIYASEMA WAZI PAMOJA NA NENO ""TUTAHAKIKISHA UCHAGUZI HAUFANYIKI"" THEN LATERLY GHASIA ZIKAFUATA,BY MEAN KULIKUWA NA PRE-UNDERGROUND-WORKS.
*Ukiunganisha maneno yake kama kweli ni intelegent kidogo tu unaweza pata picha fulani,hakuna kilichotokea kwa bahati mbaya kwa kigezo za watanzania wamechoka,no,ulikuwa ni mpango kabambe ulioratibiwa nchi nzima kimya kimya kwa weledi mkubwa,kuiharibu nchi yetu.
 
Haya...
UASI- katika kamusi ni kukataa jambo flani la watawala na si uhaini

Uchaguzi haufanyiki - Hayo maneno hayapo katika lengo ya uhaini

Nchi haitawaliki - Kuna wanasiasa wengine ni CCM walishasema nchi haitatawalika tusipo Fanya hivi na hivi- hayo maneno hayapo kwenye uhaini

Uhaini kwanza unaapa...unakuwa na kikundi chako Cha Siri mnapanga njama
Uhaini ni kitendo (action) na sio maneno

Uhaini ni njama za kupanga kuingiza silaha kwa ajili ya kupora madaraka ya nchi au kudhuru viongozi
Uhaini unakuwa na bajeti, mawasiliano

Hakuna Duniani uhaini wa mtu mmoja..
Tunazidiwa na akili Hadi na Uganda ambao wameona Besyge waweke watu wawili na juzi wameongeza mwingine ili Kwendana na matakwa ya kikanuni ya uhaini
 
Julai 10 Kikundi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Ministerial Action Group - CMAG) kilitoa mrejesho wa ziara ya ma.

Lakini ikiwa hakutakuwa na maendeleo yanayoonekana, nchi inaweza kukabiliwa na ongezeko la shinikizo la kidiplomasia, kudhoofika kwa taswira yake kimataifa na uwezekano wa hatua zaidi kutoka Jumuiya ya Madola, ambazo zinaweza kuwa na athari za muda mrefu kwa diplomasia, uchumi na nafasi yake katika jumuiya ya kimataifa.
Bado akina Ted Cruz wanakuja upande wa pili😀. Maji tutayaita mma!
 
Tunafanya Countdown ya Commonwealth (CMAG)
Ya Mashart ya Muda Maalum.
(Ultimatum act)

Zimebaki siku 26
Lissu kuachiwa.
 
Alitamka kwa mdomo wake ""TUTAHASI" NA NENO,""TUTAHAKIKISHA NCHI"""HAITAWALIKI"" HAYA ALIYASEMA WAZI PAMOJA NA NENO ""TUTAHAKIKISHA UCHAGUZI HAUFANYIKI"" THEN LATERLY GHASIA ZIKAFUATA,BY MEAN KULIKUWA NA PRE-UNDERGROUND-WORKS.
*Ukiunganisha maneno yake kama kweli ni intelegent kidogo tu unaweza pata picha fulani,hakuna kilichotokea kwa bahati mbaya kwa kigezo za watanzania wamechoka,no,ulikuwa ni mpango kabambe ulioratibiwa nchi nzima kimya kimya kwa weledi mkubwa,kuiharibu nchi yetu.
Ndo wamuhukumu kunyongwa sasa😁,Lissu mwenyewe kanenepa aswaa ana enjoy,
 
Lakini ikiwa hakutakuwa na maendeleo yanayoonekana, nchi inaweza kukabiliwa na ongezeko la shinikizo la kidiplomasia, kudhoofika kwa taswira yake kimataifa na uwezekano wa hatua zaidi kutoka Jumuiya ya Madola, ambazo zinaweza kuwa na athari za muda mrefu kwa diplomasia, uchumi na nafasi yake katika jumuiya ya kimataifa.
Umeandika vema, but as long as Commonwealth hawana jeshi, these goons do not care a damn! Unadhani samia na wanaomzunguka wataogopa maneno? wao maisha yao na wanaowazunguka hayatateteleka kwa namna yyote... sana sana tutakaokufa ni sisi..........
 
Tunafanya Countdown ya Commonwealth (CMAG)
Ya Mashart ya Muda Maalum.
(Ultimatum act)

Zimebaki siku 26
Lissu kuachiwa.
sala nzuri sana, lkn kwa samia sidhani maana wanaomzunguka ndio kioo chake, hana personal decision kama Nyerere aliyokuwa! hawezi kusimama akasema kuwa hili silitaki, kama hamtaki navunja baraza la mawaziri...hawezi!
 
Ndiyo maana sitaki kusikia habari yoyote ya hayo mazungu.

Yakiwa na maslahi pahala yanatumia nguvu na inteligensia yote kama Maduro kule Venezuela.

Yasipokuwa na nia yatazunguka na kukwepa kama Sudan. Watu wamekufa kwa Malaki kama sio mamilioni wala hawajigusi
Acha ujinga mbwa wewe
 
Back
Top Bottom