Haya Hapa Maeneo Yenye Wife Material Tanzania.

Kigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?

Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?

Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
Ulikutana na wadangaji
 
Hiyo Tabora ondoa kwenye orodha.....
 
Katika dini zote? Mapadri sijui ni wapagani sikuhizi
Wale wapo special kwa kazi ya kujenga kanisa katoliki, uzuri mimi ni mchagga mkatoliki...kipele kimepata mkunaji😅
 
Lindi, Tabora, Ruvuma, Singida wamekupa nini?
Kwenye ubora waongeze Rukwa,
ila Mbeya my sweet home hahahaha! But my mom was exceptional nafikiri masalia wapo pia
 
Lindi, Tabora, Ruvuma, Singida wamekupa nini?
Kwenye ubora waongeze Rukwa,
ila Mbeya my sweet home hahahaha! But my mom was exceptional nafikiri masalia wapo pia
Sawa Rukwa added, My sweet home ni Kili lakini sijawa biased, mbeya wanawake wenu sio mchezo wasikie tu.
 
Tabora 😀😀😀😀unawafahamu wanyamwezi au unawaona kwenye picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…