Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If you get free milk 🥛 why keeping a cow..... Kula rahaEh, sasa tunaotaka kukimbia sera ya KATAA NDOA huu mwaka tunakosea sana au vipi kiongozi
Ulikutana na wadangajiKigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?
Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?
Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
Nadhani hii ndiyo pointkataa ndoa
Tuanze kwa Yesu mwenyewe na PauloKama mtu ni Kataa Ndoa basi na kusali au kuswali asifanye maana ndoa ni wito
Kujaza dunia ni kuzaa mkuuEnendeni duniani mkaijaze dunia, ndoa ni nguzo katika dini zote
Katika dini zote? Mapadri sijui ni wapagani sikuhiziEnendeni duniani mkaijaze dunia, ndoa ni nguzo katika dini zote
Lindi, Tabora, Ruvuma, Singida wamekupa nini?Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Ruvuma
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......
mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.
Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Kagera, bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.
Watu wanalilia kwa kukimbilia sehemu ambazo hata historia zao hawazijui.
bila upendeleo wowote mimi natokea mkoa ambao wife material hakuna lakini nimesema ukweli ulio kweli.
Sawa Rukwa added, My sweet home ni Kili lakini sijawa biased, mbeya wanawake wenu sio mchezo wasikie tu.Lindi, Tabora, Ruvuma, Singida wamekupa nini?
Kwenye ubora waongeze Rukwa,
ila Mbeya my sweet home hahahaha! But my mom was exceptional nafikiri masalia wapo pia
Tabora 😀😀😀😀unawafahamu wanyamwezi au unawaona kwenye picha?Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Ruvuma
Rukwa
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......
mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.
Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Kagera, bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.
Watu wanalilia kwa kukimbilia sehemu ambazo hata historia zao hawazijui.
bila upendeleo wowote mimi natokea mkoa ambao wife material hakuna lakini nimesema ukweli ulio kweli.