Haya hapa majukumu ya msajili wa vyama vya siasa!! Mbona Hana mamlaka aliyojitwika Leo? ni kiburi, maagizo au dharau?

Haya hapa majukumu ya msajili wa vyama vya siasa!! Mbona Hana mamlaka aliyojitwika Leo? ni kiburi, maagizo au dharau?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Haya hapa majukumu yake bila mihemko Soma kwa makini
20250513_195754.jpg
20250513_195727.jpg
 
Bahati nzuri ni kuwa kizazi kilichoingia chuo kikuu kwa kutumia kadi ya ccm kinazidi kupungua kwa kasi sana. Ndiyo hawa wanatusumbua akina Jaji Juma et
al.., wanaoandika X kwenye tafiti zao, wanafundisha X Chuoni alafu wanarudi kuziita Z wakiwa watendaji.
Itabaki kizazi ambacho kilisoma na kupata elimu kipindi uhuru wa kuchagua chuo cha kusoma.

Watasuguana kwa maneno hadi kwa Jambia mradi kila mmoja mkono wake iingie kinywani.
 
Dah ila jamaa ana bonge la sijda/sigda. Ile sijdah siyo ya kawaaida asee nadhani alitumia mionzi ya Lazer kuipata siyo kujisugua paji sakafuni na msasa na steel wire kama wafanyavyo kina Malaria 2 Jagina na Adiosamigo

Nyau de adriz
Ivi muislamu wa KONDOA na yule wa SAUDIA nani anaswali sana? Ulisamuona mwarabu mwenye sigda?
 
Utawala unafanya mambo kutokana na raia husika katika nchi……Wajinga ni wengi nchi hii.
 
OK sa we imekukera hio sijida sa unajua sababu gani mna soma kitabu kile hakijilikani mara kina sema 1=3 mara kinasema Yesu mtoto wa Ibrahim mara mtoto wa Joseph mara Yesu alikuwepo kabla ya Ibrahim. Hicho kitabu ni vichaa tu ndio wanaweza wasivielewe wenye akili wanamuona mtungaji hazimtoshi.
 
Back
Top Bottom