Haya hapa mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana

Haya hapa mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Habarini wanandugu
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, jatika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.

Nazo ni:-
1) Sare ya shule
2) Joho la graduation
3) Gauni la harusi
4) Martenity Dress [nguo ya mjamzito]

Hata hivyo kama ukiruka ya kwanza hutapata nafasi ya kuvaa ya pili

Usikimbilie kuvaa ya nne eti kisa mtu amekuahidi ya tatu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni nguo kuu nne za kuvaa nyakati kuu nne za maisha.
Na nyakati zote zinakwenda kwa mtiririko mmoja, lakini sio lazima kufuata mtiriko huo. Kwahiyo hakuna namba mbili bila namba moja, na namba nne nzuri lazima isababishwe na namba tatu. Lakini wengi wanajikuta wako namba nne wakiwa wameruka namba tatu, Mara nyingi inakuwa vigumu sana kurudi kwenye namba tatu kama utakuwa umerukia namba nne bila mpango lakini kwa wachache wenye bahati huweza kurudi kwenye namba tatu.
 
Mbona dera(dira) sijaliona hapo kwenye list, labda sio wasichana wa Tz..
 
Na wale ambao hawakusom je? vp gaun, sketi, blauzi etc

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom