Haya hapa ni majina matukufu ambayo yamefanya miujiza mikubwa kwa manabii walipoyatamka tu

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
480
Reaction score
978
Habari ndugu wanajamii

Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya aliyatumia nabii adam kuombea msamaha kwa mola wake alipokosea, pia majina haya aliyatumia nabii ibrahim (Abraham) wakati anachomwa moto
Haya ni majina matukufu mno kwa wanaojua kuyatunia watapata matokeo yake maana hakuna kiumbe chochote kinachoweza kukaida amri yoyote wanayoamrishwa baada ya kutajwa majina haya

Tahadhari kama hujui kutumia majina haya basi wacha kabisa!!

Asanteni

Screenshot_20260417-215845~2.jpg
 
Through word,permision were given,faith and truly trust in one ❤️ the almight nothing is impossible through this name!
#nayafahamu.
--pia yapo maneno manne ambayo siwezi weka hapa,ukitamka na ukamnyooshea mtu kidole, woh woh woh......
 
View attachment 3596727
Upumbavu wa misikitini huu
 
Hebu jaribu kujitoa huku kwenye box
Utabaki peke yako gizani ndg.
Sasa hivi tunajadiri ..MUNGU NI NINI!
...TOFAUTI KATI YA DINI (religion) na SPIRITUALITY(kiroho)!
Kifupi tuko kizazi cha kuamini kwa kuhoji na kujihoji!
 
Upo sahihi,tuhoji lakini yapo mambo ni siri za kiulimwengu,karne kwa Karne,miaka 5000 iliyopita,jione wewe ni kitu gani katika hii universe 😜😜,unayejiganya eti leo hii unaakili sana,utakuwa UNACHEKESHA TU.
 
Nilichokiona hapo.huenda una aamsha viumbe ambao huwafaham na wakakudai kitu. Kwann uweke na namba.hio page y kitabu namba hizo zina maana yake.
 
Habari ndugu wanajamii

Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya aliyatumia nabii adam kuombea msamaha kwa mola wake alipokosea, pia majina haya aliyatumia nabii ibrahim (Abraham) wakati anachomwa moto
Haya ni majina matukufu mno kwa wanaojua kuyatunia watapata matokeo yake maana hakuna kiumbe chochote kinachoweza kukaida amri yoyote wanayoamrishwa baada ya kutajwa majina haya

Tahadhari kama hujui kutumia majina haya basi wacha kabisa!!

Asanteni

View attachment 3596727
Huu uzi kama siyo mvaa kobaz, unatoka kapa.
 
Through word,permision were given,faith and truly trust in one ❤️ the almight nothing is impossible through this name!
#nayafahamu.
--pia yapo maneno manne ambayo siwezi weka hapa,ukitamka na ukamnyooshea mtu kidole, woh woh woh......
Nipe ayo dm na Mimi nikupe tunguli inayo tengeneza pesa ukiomba pesa unayo taka usiku asubui unaikuta,au nikupe njia ya kupasua ardhi utokee chini ya ardhi ukutane na makao makuu ya freemason (Lucifer) utakaa uko siku 7 unakula pindi ukilud unakua sio mwenzetu tena
 
Through word,permision were given,faith and truly trust in one ❤️ the almight nothing is impossible through this name!
#nayafahamu.
--pia yapo maneno manne ambayo siwezi weka hapa,ukitamka na ukamnyooshea mtu kidole, woh woh woh......
Acha uongo mkuu.
 
Back
Top Bottom