Haya hapa ni majina matukufu ambayo yamefanya miujiza mikubwa kwa manabii walipoyatamka tu

Haya hapa ni majina matukufu ambayo yamefanya miujiza mikubwa kwa manabii walipoyatamka tu

Habari ndugu wanajamii

Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya aliyatumia nabii adam kuombea msamaha kwa mola wake alipokosea, pia majina haya aliyatumia nabii ibrahim (Abraham) wakati anachomwa moto
Haya ni majina matukufu mno kwa wanaojua kuyatunia watapata matokeo yake maana hakuna kiumbe chochote kinachoweza kukaida amri yoyote wanayoamrishwa baada ya kutajwa majina haya

Tahadhari kama hujui kutumia majina haya basi wacha kabisa!!


Asanteni

View attachment 3596727
Mkuu jaribu Jina la Yesu, ni Jina lipitalo majina yote na utaona hao wengine wote wakikimbia au kuanguka chini na kuabudu.
 
🤪😊😃😍😒😄💋😬🍎💖😢💝😢😂😆😢😂❣️💞💞💝💖💖💖💖😢😢😂
 
Mkuu jaribu Jina la Yesu, ni Jina lipitalo majina yote na utaona hao wengine wote wakikimbia au kuanguka chini na kuabudu.
Majina yenye nguvu,
IESU
YESU
NATHANIEL
ADONAIE
YEKHOVA
EZEKIEL
EMANUEL
ABLANATHANALBA (ili usiguse sana huwa linatingisha element za universe)
TETRAGRAMATON
+++
 
Majina yenye nguvu,
IESU
YESU
NATHANIEL
ADONAIE
YEKHOVA
EZEKIEL
EMANUEL
ABLANATHANALBA (ili usiguse sana huwa linatingisha element za universe)
TETRAGRAMATON
+++
IESU na YESU ni jina lilelile. EMMANUEL inamaanisha Mungu pamoja nasi likirejea kwa YESU. Ila linalotikisa Mbingu, dunia na kuzimu ni YESU.
 
Napokea masimango na kejeli za baadhi zenu ila sitoacha kuwasaidia
 
Back
Top Bottom