figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
na we pia unaoa???heheeee! pole zangu za dhati ziende kwa muolewaje
mbona hukusema tangia mwanzo na wakati tumeshatayarisha vyeti vyao toka serikalini vinatambulika hivyo na jmos tunakwenda kula mapochopocho na kucheza Pianist
ushalizwa besti unalo hilo!!
Vin Diesel habari yako..........
hahahahahahaaaaa pole bestito kwa masahibu hayo
umeshavurugwa achia ngazi usitoe rufaa
Baba V aliniomba niandae vyeti vya ndoa kabla haijafika jmosi
viwe tayari kuwepo ila kuna tatizo dogo lilitokea pale mahakamni
advocate wa kusign vyeti hivi hakuwepo hivyo nikawaomba waweke
muhuri tu na kusign aweke Baba V, kwani ndiye kiongozi wa humu.
ni hayo tu bestito una jingine wataka kufahamu?
Kuhusu Vin Diesel unaniruhusu nimtie moyo kivipi?
hivi hajakwambia kuwa rangi za harusi hii ni yeye mwenyewe View attachment 114804
na siye ni hzi hapa View attachment 114805
mwenyekiti Baba V, huyu anaongea maneno ya uchochezi. naomba umfungie miezi mitatu. huyu dadangu nahofia atamkosesha amani mpenzi wangu. mia
Babe maneno yake yamenitisha sana.......napewa pole
Nishasema sikubali mie....nitapinga hadi kwa Mungu ukatili huu
shetani at work wii, unatakiwa uvishinde vishawishi ili muweze kufanikisha lengo lenu, hukumbuki jinsi mimi na shemejio Arushaone tulivyopigwa vita na kukatishwa tamaa kwenye tangazo letu la ndoa? LAkini sasa hivi tunaenjoy maisha ya ndoa tukiwaacha wapambe wote midomo wazi!
Yeah!!!! Midomo open!!!
swali zuri sana....
mwenyekiti Baba V, huyu anaongea maneno ya uchochezi. naomba umfungie miezi mitatu. huyu dadangu nahofia atamkosesha amani mpenzi wangu. mia
Jamni ummu kulthum, why?
Mdogo wetu ameamua jambo jema, hakika muolewaje amepata kitu kilichochema
By the way, habari za singida mamii?
nakushauri usafiri ili usishuhudie hii ndoa. sababu itakua kabambe na roho zitawauma sana. nakushauri umrudie mwanampwapa. sitaki kumtaja jina. wasichana singo wapo kibao. tusigombanie wanawake coz huu ni urithi wetu. Ukishindwa kutongoza ntakusaidia. pole sana coz najua inauma. alicho panga Mungu ( Heaven on earth kuoana na figganigga) binadamu ( Vin Diesel) hawezi kupangua. mia
usihofu mwambie bibie kama yuko tayari nikutie moyo
Vin Diesel asiekubali kushindwa si mshindaniMkuu figganigga...kwa Heaven on earth tutabanana hapo hapo....