Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Mkuu nimeshandaa vyeti hivyo hapo chini nnimeattach
vya safari hii ni vikali na ni vya bei mbaya pale ushaurini
wananidai hela ya stemp hivyo nikashindwa kuvisign
utasign mwenyewe mkuu, una lingine la kusema?

View attachment MARRIED CERT NYAKUBANGA.pdf

na kingine ni hiki hapa

View attachment MARRIED CERT FIGGA.pdf

Aliyeshuhudia wakati najaza majina ni huyu hapa

View attachment 114782

Ndugu wadau wa Chit chat Salaam...
Leo nawaletea khabari njema za vijana walioamua kuihama rasmi kambi ya ukapera na kuamua kuingia katika JELA ya ndoa wakiwa na matumaini kibaao.. Kijana Myakubanga kaamua kumvuta mtoto Queen Kan jumla jumla huku mzee wa mia figganigga kaamua nae kufanya mia kwa mrembo Heaven on earth.. Napenda kuwatangazia kuwa hizi ndoa zote zitafungwa siku ya jumamosi ya tarehe 5 October.. wenye wivu wasafirishe unga kwenda China...

Msisitizo : Sitaki niskie habari ya pingamizi (najua hamkosekani) . Kuna watu walikuwa wanawaona watoto hapa wanajichekesha tu wakiona walio serious wanabeba vitu wanaanza kulialia... hahahahaaa... Inakuwa kama yule aliyekwenda kuazima jogoo akaanza kupiga story mwenzie akaja akaenda straight to the point akaondoka na jogoo akamuacha yule wa awali anambwelambwela.. Habari ndo hiyo Queen Kan kampata Myakubanga na figganigga kampata Heaven on earth..

c.c gfsonwin na watu8
Judgement na ruttashoborwa kwa ajili ya kuweka kumbukumbu za kisheria sawa,
ladyfurahia niandalie vyeti vya ndoa za hawa watu.
Bishanga na Mtambuzi kwa ajili ya kujua kuwa ndoa zimeongezeka tarajieni clients wengi zaidi
Vin Diesel kwa taarifa tu.

Adios amigos
Baba V Mwenyekiti wa kudumu 2012
 
Mkuu nimeshandaa vyeti hivyo hapo chini nnimeattach
vya safari hii ni vikali na ni vya bei mbaya pale ushaurini
wananidai hela ya stemp hivyo nikashindwa kuvisign
utasign mwenyewe mkuu, una lingine la kusema?

View attachment 114780

na kingine ni hiki hapa

View attachment 114781

Aliyeshuhudia wakati najaza majina ni huyu hapa

View attachment 114782

Nakushukuru kwa kazi nzuri... tena huyo aliyeshuhudia zoezi la utengenezwaji nimempenda, hizi ndoa zitatulia..
 
avatar28550_10.gif
na we pia unaoa???heheeee! pole zangu za dhati ziende kwa muolewaje
 
Hakika sitakosa, dada tena....!

asante sana Baba V. mpenzi wangu Heaven on earth nakupenda sana. na sisi ndoa yetu ndo itakua mfano wa kuoigwa kwa wote walio ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Mungu atusaidie. hiyo jumamosi kuna watu muhimu sana ambao hawatakosa.
dada zangu ram karucee na kijino. rafiki zangu mathematics washawasha slave na Invisible. kaka zangu Mwita Maranya Mzee wa Rula na Mtambuzi. kuna maswahiba gfsonwin ladyfurahia Mamndenyi Madame B ummu kulthum na amu. dah!...nina furaha sana. shemeji Arushaone wapi jamani?. mia
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wadau wa Chit chat Salaam...
Leo nawaletea khabari njema za vijana walioamua kuihama rasmi kambi ya ukapera na kuamua kuingia katika JELA ya ndoa wakiwa na matumaini kibaao.. Kijana Myakubanga kaamua kumvuta mtoto Queen Kan jumla jumla huku mzee wa mia figganigga kaamua nae kufanya mia kwa mrembo Heaven on earth.. Napenda kuwatangazia kuwa hizi ndoa zote zitafungwa siku ya jumamosi ya tarehe 5 October.. wenye wivu wasafirishe unga kwenda China...

Msisitizo : Sitaki niskie habari ya pingamizi (najua hamkosekani) . Kuna watu walikuwa wanawaona watoto hapa wanajichekesha tu wakiona walio serious wanabeba vitu wanaanza kulialia... hahahahaaa... Inakuwa kama yule aliyekwenda kuazima jogoo akaanza kupiga story mwenzie akaja akaenda straight to the point akaondoka na jogoo akamuacha yule wa awali anambwelambwela.. Habari ndo hiyo Queen Kan kampata Myakubanga na figganigga kampata Heaven on earth..

c.c gfsonwin na watu8
Judgement na ruttashoborwa kwa ajili ya kuweka kumbukumbu za kisheria sawa,
ladyfurahia niandalie vyeti vya ndoa za hawa watu.
Bishanga na Mtambuzi kwa ajili ya kujua kuwa ndoa zimeongezeka tarajieni clients wengi zaidi
Vin Diesel kwa taarifa tu.

Adios amigos
Baba V Mwenyekiti wa kudumu 2012

Ninafungua rufaa mhe Mwenyekiti.....
 
Back
Top Bottom