Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Wahoo THATS GOOD NAWATAKIA KILA LA KHERI INGAWAJE KUNA MAMBO TUTAMIS KUTOKA KWENU HAPA JAMVINI TULIZOEANA MATANI MENGI ILA NAONA KAMA HAYO MTAPUNGUZA KAMA SIYO KUACHA NAWATAKIA TENA MAISHA MAPYAA YALIYOJAA FURAHA KAKA FIGGANIGA NA MY IN LAW HEAVEN ON EARTH.
 
asante sana Baba V. mpenzi wangu Heaven on earth nakupenda sana. na sisi ndoa yetu ndo itakua mfano wa kuoigwa kwa wote walio ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Mungu atusaidie. hiyo jumamosi kuna watu muhimu sana ambao hawatakosa.
dada zangu ram karucee na kijino. rafiki zangu mathematics washawasha slave na Invisible. kaka zangu Mwita Maranya Mzee wa Rula na Mtambuzi. kuna maswahiba gfsonwin ladyfurahia Mamndenyi Madame B ummu kulthum na amu. dah!...nina furaha sana. shemeji Arushaone wapi jamani?. mia

Nipogo sana jamaa yangu.
welcome to the adult world buddy.
CC: Lady doctor.

Elfu.
 
Last edited by a moderator:
Hamchoki kusema tu, loooh ...........
Hureeeeeee! Na wenye wivu wajinyonge kwa udenda meeeeeen!

Hongereni watarajiwa, Mungu awasaidie mvishinde vishawishi vya warugaruga wa humu ndani hadi pale mtakapo funga pingu za maisha

halafu Baba V, hivi Mamndenyi amefunga ndoa lini au bado yupo kwenye mtongozo?
 
single boy bado!! hanijali kwa chumvi wala sukari..... imebdi niwe mpole nisubiri the chosen one.

Kwani lazima singo bwai tu. Tupo hapa ma femile men wenye vakansi. Yu ken bi konsidaradi.
cc. Bishanga, Mzee ..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom