Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Haya Haya... Huku Myakubanga na Queen Kan kule Figganigga na Heaven on Earth.....

Nashukuru sana kwa nasaha zako Mzee mwenzangu, ni kweli hawa vijana ni lazma watambue kuwa ndoa sio tu kugundua style mpya za kungonoana deile..

Okey Cheameni !
All protocol observe!
We are carefully and attentively about!
Perceive and register it as being significant !
Afu congra kwa vijana walio disaidi kusogezeana maeneo ya vizazi.
 
Last edited by a moderator:
asante sana Baba V. mpenzi wangu Heaven on earth nakupenda sana. na sisi ndoa yetu ndo itakua mfano wa kuoigwa kwa wote walio ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Mungu atusaidie. hiyo jumamosi kuna watu muhimu sana ambao hawatakosa.
dada zangu ram karucee na kijino. rafiki zangu mathematics washawasha slave na Invisible. kaka zangu Mwita Maranya Mzee wa Rula na Mtambuzi. kuna maswahiba gfsonwin ladyfurahia Mamndenyi Madame B ummu kulthum na amu. dah!...nina furaha sana. shemeji Arushaone wapi jamani?. mia
 
Last edited by a moderator:
Wii usisahau kuja na shemeji yangu.....Kaka ako mtu wa Vitendo

Sio maneno mengi kama V.....hako kajina simalizii ila ushakajua tu(siri yako)

yeah namjua vyema kabisa kaka angu, huwa ni mtu wa vitendo kuliko v.......... (naomba asijijue maana tutatolewa nduki maana wote tulikuwa tunashea pale lol)
wii mi simooo!
 
Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwa watarajiwa wote.

1. Ndoa si kama kwenda choo, kuwa aliyekula wali na aliyekula ugali wote mtapata choo. Ndoa ni japo nyeti sana.

2. @figganiga na Myakubanga mnaelekea kuyakwaa majukumu mapya. Zile tabia zenu mziache, msipoziacha nitawaanika hadharani.

3. Heaven on earth nakuomba upunguze harakati. Ndoa haihitaji harakati. Masuala ya haki sawa yataiponza ndoa yako.
a. Mwanaume hakosei hata siku moja.
b. Mwanaume haulizwi kwa ukali.
c. Paja zote ni za mwanaume. wewe kipapatio kinakutisha.
n.k.


NB.
Ndugu mwenyekiti, hapa jukwaani kuna vijana wa chakula tu na kuzalisha samadi.

Japo nina wivu ila sijinyongi.

asante sana mkuu. ushauri wako tunauzingatia mimi na mwenzangu, ndugu yangu mama yangu laaziz wangu Heaven on earth. mia
 
Last edited by a moderator:
Hii ni siku niliyo kuwa nikiisubiri sana,
hatimaye J'mosi mtoto mzur Queen Kan atakabidhiwa kwangu..
Nakupenda sana Queen Kan,
I am glad that we are abt to make it!

Thanks my sugarbunch....am happy to hear this news and i love you too honey,,,, to you am not tossing a dice but opting for a real love....this night am goin' to have a g9t in my world of cwt dreams...thanks again my babe mykubanga
 
Last edited by a moderator:
asante sana Baba V. mpenzi wangu Heaven on earth nakupenda sana. na sisi ndoa yetu ndo itakua mfano wa kuoigwa kwa wote walio ndani ya ndoa na nje ya ndoa. Mungu atusaidie. hiyo jumamosi kuna watu muhimu sana ambao hawatakosa.
dada zangu ram karucee na kijino. rafiki zangu mathematics washawasha slave na Invisible. kaka zangu Mwita Maranya Mzee wa Rula na Mtambuzi. kuna maswahiba gfsonwin ladyfurahia Mamndenyi Madame B ummu kulthum na amu. dah!...nina furaha sana. shemeji Arushaone wapi jamani?. mia
hongera brazaa naona umevuta cha ukwe e, na mimi naangaza angaza humu nijivutie kajiko lakini sibahatiki thijui nina gundu:rolleyez:
 
Thanks my sugarbunch....am happy to hear this news and i love you too honey,,,, to you am not tossing a dice but opting for a real love....this night am goin' to have a g9t in my world of cwt dreams...thanks again my babe mykubanga

unaharakia wapi Hadi jina la Husband wako to be umelikosea....

Tuliza papara mamy huyo ni wako wako peke yako
 
yeah namjua vyema kabisa kaka angu, huwa ni mtu wa vitendo kuliko v.......... (naomba asijijue maana tutatolewa nduki maana wote tulikuwa tunashea pale lol)
wii mi simooo!

hahaaa yaani V akipata hii habari.....mi unajua sijui itakuwaje Wii.............

Nashukuru mungu hamna mmbo ya kuweka pingamizi.....

Darasa letu si linaendelea kama kawa...
 
Back
Top Bottom