tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
hongera kwenu wanandoa wapya watarajiwa!!! Heaven on earth na Queen kan ndo muijaze dunia tena kwa fujo msituletee hapa habari za rangi ya kijani........
Thanks my sugarbunch....am happy to hear this news and i love you too honey,,,, to you am not tossing a dice but opting for a real love....this night am goin' to have a g9t in my world of cwt dreams...thanks again my babe mykubanga
hongera kwenu wanandoa wapya watarajiwa!!! Heaven on earth na Queen kan ndo muijaze dunia tena kwa fujo msituletee hapa habari za rangi ya kijani........
hongera brazaa naona umevuta cha ukwe e, na mimi naangaza angaza humu nijivutie kajiko lakini sibahatiki thijui nina gundu:rolleyez:
hongera kwenu wanandoa wapya watarajiwa!!! Heaven on earth na Queen kan ndo muijaze dunia tena kwa fujo msituletee hapa habari za rangi ya kijani........
Babe nipo hapa kukupa raha tu......
Rangi ya kijani huko huko au umesahau neno linasemaje......
Hivi tinna cute yule single bwoi nilie kutambulisha alifanikisha
single boy bado!! hanijali kwa chumvi wala sukari..... imebdi niwe mpole nisubiri the chosen one.
hongera kwenu wanandoa wapya watarajiwa!!! Heaven on earth na queen kan ndo muijaze dunia tena kwa fujo msituletee hapa habari za rangi ya kijani........
mkuu hongera kwa kuibuka na kimwna matata. Mungu awape maisha marefu. Mia
yaani hadi raha. Hii inaitwa twuiniwani. Mia
Kwanza nitoe pongezi zangu za dhati kwa watarajiwa wote.
1. Ndoa si kama kwenda choo, kuwa aliyekula wali na aliyekula ugali wote mtapata choo. Ndoa ni japo nyeti sana.
2. @figganiga na Myakubanga mnaelekea kuyakwaa majukumu mapya. Zile tabia zenu mziache, msipoziacha nitawaanika hadharani.
3. Heaven on earth nakuomba upunguze harakati. Ndoa haihitaji harakati. Masuala ya haki sawa yataiponza ndoa yako.
a. Mwanaume hakosei hata siku moja.
b. Mwanaume haulizwi kwa ukali.
c. Paja zote ni za mwanaume. wewe kipapatio kinakutisha.
n.k.
NB.
Ndugu mwenyekiti, hapa jukwaani kuna vijana wa chakula tu na kuzalisha samadi.
Japo nina wivu ila sijinyongi.