Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
safi... msigombane jamani, mwenyekiti nae ataleta ulinzi shirikishi ktk ngazi ya familia kama kova
jamani!
safi... msigombane jamani, mwenyekiti nae ataleta ulinzi shirikishi ktk ngazi ya familia kama kova
Okey Cheameni !
All protocol observe!
We are carefully and attentively about!
Perceive and register it as being significant !
Afu congra kwa vijana walio disaidi kusogezeana maeneo ya vizazi.
mkuu hongera kwa kuibuka na kimwna matata. Mungu awape maisha marefu. mia
thjaelewa kitu"
honey mie nimeelewa hiyo mistari miwili ya mwisho...
hata mimi,
ila darling we takuwa umeelewa bhana,lol
lol! Ntakuelewesha baadae....umeamkaje lakini sweet wa mie
Nimeamka salama cwtie,
tunaitafuta Inyala hapa
there are currently 5 users browsing this thread. (2 members and 3 guests)
umeamkaje shem? Mimi naenda gym kwanza :target:
Poleni na safari. Mungu awatangulie mfike salama dia!!
hongereni sana karibuni kwenye chama cha wakubwa
likewise darling.... Umefikisha salam zangu kwa dada Madame B ?
salama tu shem,....mbona unaenda mwenyewe best yangu umemuacha wapi?