Haya haya kumekucha, China yatoa msaada wa chakula tena, Wakenya wakasirika

Subutu...kw unafiki mliokua nao
Tena tunaweza kuwapa chakula kingi zaidi ya hizo gunia 30,000 walizopewa na China. Kama tuliweza kupeleka malaki ya tani huko Msumbiji, Zimbabwe na Malawi, vipi tushindwe kuwapa wakenya tani laki mbili za vyakula mchanganyiko?. Tunachohitaji ni Uhuru Kenyatta kuleta ombi rasmi la kuomba msaada.
 
Subutu...kw unafiki mliokua nao
Mbona tuliwapeni Tausi ambao ni wachache na ni fahari ya Tanzania, vipi tushindwe kuwapa chakula ambacho kimejaa katika mashamba na katika ghala zetu hatujui wapi tukipelekee?, mwishowe kitaoza.

Kama ambavyo Uhuru Kenyatta alipata ujasiri wa kuomba apewe Tausi kupendezesha Ikulu, atumie ujasiri huo huo kuomba chakula.
 
Uhuru kenyatta haombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwn unafikiria aliwapa misaada mara ngapi...jiwe mwenyewe ywajua kabisa km hawez toa msaada kenya...

Yeye kaalikwa na tausi kapewa...yani kw kujipendekeza jiwe...yuko vizuri

Anachekacheka tu!?. Hahahaha.
 
Vile wakenya hujibu wakiulizwa kuhusu njaa.

CC: MK254 komora096

Attachments

  • Vile wakenya wanavyojibu wakiulizwa njaa.mp4
    5.3 MB
Bwahahaaaa...mnafiki hyo jiwe..aliona aibu kumualika akili kubwa kisha arudi mikono mitupu..kaona ampe tausi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa tausi kw kenyatta ni nn jamani

Anachekacheka tu!?. Hahahaha.
 
Bwahahaaaa...mnafiki hyo jiwe..aliona aibu kumualika akili kubwa kisha arudi mikono mitupu..kaona ampe tausi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa tausi kw kenyatta ni nn jamani
Kitoweo murua kwenye baa hili la njaa!
 
Hahaaaa!!maskini...umekosa la kusema...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwahahaaaa...mnafiki hyo jiwe..aliona aibu kumualika akili kubwa kisha arudi mikono mitupu..kaona ampe tausi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa tausi kw kenyatta ni nn jamani
 
ndege tunailipia inaachiwa na msaada wa chakula tunawapa,hii ndio ldc ya kipekee kabisa hapa duniani.

wakati huo mambo kibao tunaendelea ku fund kwa pesa zetu,upo middle income citizen[emoji16][emoji16][emoji16]
Change hela mkaikomboe Ndege kwa pesa "zetu" 😂
 
Wakati Waziri wa Ugatuzi akichekelea kupokea mchele wa msaada toka China ili kuokoa maisha ya mamilioni ya wakenya walio katika hatari ya kufa kutokana na njaa kubwa inayoikumba Kenya, wananchi wengi wa Kenya wamelichukulia kama ni kitendo cha aibu kwa taifa Lao kuendeleza tabia ya kuomba na kupokea misaada ya chakula.

Kwa mujibu wa Waziri huyo ni kwamba, nusu ya nchi ya Kenya inakabiliwa na njaa hivyo kuhitaji msaada wa chakula haraka. Tangu Kenya ijipatie Uhuru wake, janga la njaa ni sehemu ya maisha ya wakenya, na wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya njaa.

Rais Uhuru Kenyatta alikiri kwamba, Kenya haina uwezo wa kujilisha hivyo kutegemea misaada ya chakula, na kwamba haki hiyo itaendelea kuikumba Kenya kwasababu idadi ya watu inazidi kuongezeka na ardhi iliyopo inazidi kupoteza uwezo wa uzalishaji chakula.
Nakumbuka walizuia Mchele kutoka Tanzania kwa makusudi tu
 
Watawaliwa Kenya mna kazi kweli. Mnakataa misaada toka kwa wafrika mnapokea ya wachina!
 
Wakati Waziri wa Ugatuzi akichekelea kupokea mchele wa msaada toka China ili kuokoa maisha ya mamilioni ya wakenya walio katika hatari ya kufa kutokana na njaa kubwa inayoikumba Kenya, wananchi wengi wa Kenya wamelichukulia kama ni kitendo cha aibu kwa taifa Lao kuendeleza tabia ya kuomba na kupokea misaada ya chakula.

Kwa mujibu wa Waziri huyo ni kwamba, nusu ya nchi ya Kenya inakabiliwa na njaa hivyo kuhitaji msaada wa chakula haraka. Tangu Kenya ijipatie Uhuru wake, janga la njaa ni sehemu ya maisha ya wakenya, na wengi wamepoteza maisha kwa sababu ya njaa.

Rais Uhuru Kenyatta alikiri kwamba, Kenya haina uwezo wa kujilisha hivyo kutegemea misaada ya chakula, na kwamba haki hiyo itaendelea kuikumba Kenya kwasababu idadi ya watu inazidi kuongezeka na ardhi iliyopo inazidi kupoteza uwezo wa uzalishaji chakula.
Sisi sio kama LDC hiyo wenu wewe mpenda giza Joto la Kike.
 
Back
Top Bottom