GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkurugenzi wa Huduma za upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Rachel Mhavile amesema Mnamo Septemba 24, 2024 serikali ilifanikiwa Kwa Mara ya Kwanza kuanzisha Kituo Cha upandikizaji wa mimba katika Hospitali za Umma Nchini ambacho kimegharimu Bilioni 1.72
Amesema katika kipindi Cha miezi mitatu tangu kuanzishwa Kwa Huduma hiyo Familia zaidi ya Nane zimejitokeza kupata huduma hiyo na kuongeza kuwa gharama za upandikizaji mimba ni Shilingi Milioni 14.
Chanzo: manaratv
Mkiambiwa mtuheshimu sana Wanaume tunaozalisha Wanawake hovyo hamtaki wakati tuko wachache wenye Uwezo.