GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wakati Mimi Wanawake zangu wote 17 nimewapa Mimba zao zote bure bure na gharama yangu ni Karanga Mbichi pekee.Aisee, mimba inapatikana kwa mil 14?
Hii nitaijaribu Ijumaa (Kesho) jioni kwani kuna Mbunye moja ya Kinyankole (Mbarara) na Kitoro (Fort Portal) inakuja Kuliwa.Lisaa limoja au nusu saa kabla ya tendo, Chukua tangawizi kipande, punje tatu za vitunguu saumu, tango moja, kitunguu maji kimoja
Safisha na kukatakata viambata hivyo na kuweka kwenye blenda, utaongeza maji glass moja na utasaga ili kupata juisi
Utachuja na itakuwa tayari kwa matumizi, kumbuka unatumia nusu saa au lisaa kabla ya tendo
Hii ni juisi (tiba) nzuri sana kwa wanaume wanaokosa hisia na kufeli kurejea kwa haraka baada ya bao la kwanza.
Acha nyeto na ma porno boya wee
Na Wewe unatuchanganya sana na Maelezo yako ambayo kila wakati unayabadilsha badilisha tu. Sasa tushike lipi labda?Tafuta Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.
Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.
Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi
MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala
Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za upungufu wa nguuuvu za kiume.
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko ktk tendo la ndoa.
Kuna booster ya maandalizi na tuna ya ujumla, Soma uelewe.Na Wewe unatuchanganya sana na Maelezo yako ambayo kila wakati unayabadilsha badilisha tu. Sasa tushike lipi labda?
Hueleweki.Kuna booster ya maandalizi na tuna ya ujumla, Soma uelewe.
Halafu aishee kukuambia Baba ungechelewa kidogo kunizaa, hata mimi ningekuzaa tu, kwahiyo usinitishe π€£π€£M 14 na Bado ajazaliwa hapo aanze kuumwa,usomeshe,akusumbueee aiseeeeeeeππππ
πππππ Kwakwel mkuu,Halafu aishee kukuambia Baba ungechelewa kidogo, hata mimi ningekuzaa tu, kwahiyo usinitishe π€£π€£