Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty
nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi..
Naenda kiumri
~ Age 8 -
Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi mtoto wa mwalimu na yeye alikuwa mtoto wa mwalimu, saa 4 tunaenda ofisini kunywa chai 👩❤️👨
sikuwa naona umuhimu wa kupendwa nilikua nachukulia poa tu.
~ Age 11-13 nilipo balehe
Kila msichana ninae tokea kumpenda niliishia kufurahia kumtizama na kusikia sauti yake tu, na mala nyingi niliwaogopa wadada wazuri na kuwanyeyekea sana.
Lakini pia mtaani nilianza tabia ya kupenda kucheza muziki na wadada ( kushika viuno )
~ Age 14-18
Sasa nikaanza kuona kuwa mapenzi yana umuhimu nahitaji.
Shida ikaja kila ninae mpenda hanipi nafasi, naishia kuwa mshika pembe.
hadi namaliza kidato cha nne nilikuwa mtu wa kubambia wasichana kwenye madisko na sherehe lakini sikuwahi kupata kipenzi changu wa moyo.
~ Age 19
Hapa niliingia kwenye mahusiano ambayo yalinifikisha kwenye romance tu, no sex
Tution ya romance nafikiri Van_dame alishiriki vizuri kunifua
kwahiyo si haba. types of kiss zilikua kichwani.
hapa mustarbation nayo ikaanza kazi, video za utupo nazo mdogo mdogo.
~ Age 20
Hapa sasa mimi bwana niliendaga kusoma collage mambo ya clinical officer (co)
nikawaza, mbususu sijui inafananaje kweli nitaweza kumvulisha mgonjwa chupi na huku sijawai kumvulisha chupi mwanamke mzima.
nikawaza nitafanya jambo.
Basi nakiweka mpango pisi yoyote itakayoleta shoba naikula liwalo na liwe, natafuta atakaye kubali tufanye.
nikaanza uchafu kijana wa watu 😭😭😭😥
ila uzuri tayari nilikuwa educated nimesoma afya ya binadamu kwahiyo milima na mabonde nilikwepa.
~ Age 23
nikapendwa na mimi nikapendeka nikawaza na kuishi na pisi, uchumi ukayumba nikaona kila rangi na kuvunja mahusiano na kukomaa na usingle.
nikipata pakuponea haya.. nikikosa basi,
mustarbation nayo twenye kazi..
nikipata pisi naruka nayo.
Sipati ninaye mtaka ila napata wakupunguzia mihemko tu.
wajameni mapenzi ni ufalasi tumtafuteni Mungu atufanyie wepesi katika maisha haya.
kitu cha muhimu ni kuwa na Macho ya rohoni.
Hakuna jambo litatokea kwenye maisha yako bila Mungu kukutaarifu,
siku zote Mungu uleta ujumbe nini kimekuzunguka na nini kinafata mbele.
Ayubu 33:14-18
[14]Kwa kuwa Mungu hunena mara moja,
Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
[15]Katika ndoto, katika maono ya usiku,
Usingizi mzito uwajiliapo watu,
Katika usingizi kitandani;
[16]Ndipo huyafunua masikio ya watu,
Na kuyatia muhuri mafundisho yao,
[17]Ili amwondoe mtu katika makusudio yake,
Na kumfichia mtu kiburi;
[18]Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni,
Na uhai wake usiangamie kwa upanga.
Akili ni mia hapo sijui kama unanielewa.
Dr. Surya