Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

Aisifiae mvua imemnyeshea !! Wahusika wakuu wa hizo timu ni walambaji asali wakuu !! Wabebaji mabango wao wapo kama day workers tu mkono uende kinywani !! Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua haya mambo !!
 

CCM wamepoteza ushawishi kwenye njia sahihi ya kisiasa, sasa wanatumia hizo njia kulazimisha kuonekana wana ushawishi kwa umma. Hivi leo bendera za CDM zikianza kuingizwa huko kwenye soka, utasikia acheni kuchanganya soka na siasa. Na usishangae ikatungwa sheria kali kuhusu matumizi ya siasa ndani ya soka.
 
Hawajielew, halafu mashabiki yapo kimya tu, kama malofa vile
 
Sio tu nguruwe, hawa ni poop hayana akili, halafu mishabiki ipoipo tu kama mazezeta, badala wapaze sauti maisha ni magumu tumieni fursa za mipira kumwambia Rais kuwa huku mitaani hali ngumu kama hawezi kuzuia kupanda kwa bidhaa ajihuzuru yenyewe hayawezi yanafura tu. Matahila kabisa
 
Washabiki hawana la kufanya maana hakuna aliyevunja sheria. Namna pekee ya kuzuia hiyo tabia ni kuingia na bendera ya CDM huko uwanjani. Huo mchezo ukishika kasi utaona CCM wakiacha kutuma watu wao kufanya huo utoto.
Ni kweli kabisa, naona twende kwa namna hiyo
 
huo ni ulimbukeni wabongo sijui tunafeli wapi
 
huo ni ulimbukeni wabongo sijui tunafeli wapi
Shida watanzania tumezubaa sana yani, mimi navuta mda tu niondoke kwenye hili Taifa la utumwa yani tunaburutwa tu kama mapaka vile. Huu uhuni huu ipo siku litatokea gumzo Zito sana nawatajuta
 
Chawa hao wapo kazini.....ila ingekuwa ni chama kingine wangezuiliwa kwa madai wanafanya siasa.

Wasituharibie mpira hawa wahuni.
Hivi bado watu mnashabikia mpira wa Yanga na Simba? Mimi mwezenu nilishajitoa zamani sana baada ya kuona ni njia ya wahindi na waarabu wafanyabiashara kutugeuza misukule yao. Ona sasa kama haya mabango yanavyofanya watu mazezeta.
 
Hivi bado watu mnashabikia mpira wa Yanga na Simba? Mimi mwezenu nilishajitoa zamani sana baada ya kuona ni njia ya wahindi na waarabu wafanyabiashara kutugeuza misukule yao. Ona sasa kama haya mabango yanavyofanya watu mazezeta.
Watanzania tumeoza kiakili tumebaki kunuka tu, sisi nimaholo yani hata nguruwe poli wanatuona Mavi tu, haiwezekani upuuzi unaendelea sisi Tupo kama matahila vile, vitu vinapanda bei then jitu limepwata mubango eti mama amefungua nchi tunasajili [emoji90], utasikia manara nyokonyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…