Ndio maana maswala yampira ya team za tanzania huwa staki hata kusikia hata hapa kijijin kwetu Nkalalo huwez kuona nashabikia mipira ya tanzania maana ni ushenz na upumbavu wa hali ya juu na mpira wa tanzania kwa hizo akili zao hawataenda popote watabaki kupigana fine na adhabu za kufungiana kutoshiriki maswala ya mpira kwa ujinga wao wapuuz kabisa hayo mazezeta yamebeba mabango ya kijingajinga huku wananchi wanateseka maisha magumu mafuta ya magari bei hovyo wakat soko la Dunia bei imeshuka, bei za vifurush vya mitandao juu, bei za vyakula na bidhaa zingine juu halafu mazezeta yanayokula chips mijin hata familia hayana yanabeba mabango ya kipuuz, nguruwe kabisa.