Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Aisifiae mvua imemnyeshea !! Wahusika wakuu wa hizo timu ni walambaji asali wakuu !! Wabebaji mabango wao wapo kama day workers tu mkono uende kinywani !! Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua haya mambo !!
 
JamiiForums-249883739.jpg
 
Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545

CCM wamepoteza ushawishi kwenye njia sahihi ya kisiasa, sasa wanatumia hizo njia kulazimisha kuonekana wana ushawishi kwa umma. Hivi leo bendera za CDM zikianza kuingizwa huko kwenye soka, utasikia acheni kuchanganya soka na siasa. Na usishangae ikatungwa sheria kali kuhusu matumizi ya siasa ndani ya soka.
 
Hawajielew, halafu mashabiki yapo kimya tu, kama malofa vile
 
Ndio maana maswala yampira ya team za tanzania huwa staki hata kusikia hata hapa kijijin kwetu Nkalalo huwez kuona nashabikia mipira ya tanzania maana ni ushenz na upumbavu wa hali ya juu na mpira wa tanzania kwa hizo akili zao hawataenda popote watabaki kupigana fine na adhabu za kufungiana kutoshiriki maswala ya mpira kwa ujinga wao wapuuz kabisa hayo mazezeta yamebeba mabango ya kijingajinga huku wananchi wanateseka maisha magumu mafuta ya magari bei hovyo wakat soko la Dunia bei imeshuka, bei za vifurush vya mitandao juu, bei za vyakula na bidhaa zingine juu halafu mazezeta yanayokula chips mijin hata familia hayana yanabeba mabango ya kipuuz, nguruwe kabisa.
Sio tu nguruwe, hawa ni poop hayana akili, halafu mishabiki ipoipo tu kama mazezeta, badala wapaze sauti maisha ni magumu tumieni fursa za mipira kumwambia Rais kuwa huku mitaani hali ngumu kama hawezi kuzuia kupanda kwa bidhaa ajihuzuru yenyewe hayawezi yanafura tu. Matahila kabisa
 
Washabiki hawana la kufanya maana hakuna aliyevunja sheria. Namna pekee ya kuzuia hiyo tabia ni kuingia na bendera ya CDM huko uwanjani. Huo mchezo ukishika kasi utaona CCM wakiacha kutuma watu wao kufanya huo utoto.
Ni kweli kabisa, naona twende kwa namna hiyo
 
Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
huo ni ulimbukeni wabongo sijui tunafeli wapi
 
huo ni ulimbukeni wabongo sijui tunafeli wapi
Shida watanzania tumezubaa sana yani, mimi navuta mda tu niondoke kwenye hili Taifa la utumwa yani tunaburutwa tu kama mapaka vile. Huu uhuni huu ipo siku litatokea gumzo Zito sana nawatajuta
 
Chawa hao wapo kazini.....ila ingekuwa ni chama kingine wangezuiliwa kwa madai wanafanya siasa.

Wasituharibie mpira hawa wahuni.
Hivi bado watu mnashabikia mpira wa Yanga na Simba? Mimi mwezenu nilishajitoa zamani sana baada ya kuona ni njia ya wahindi na waarabu wafanyabiashara kutugeuza misukule yao. Ona sasa kama haya mabango yanavyofanya watu mazezeta.
 
Watanzania tumeoza kiakili tumebaki kunuka tu, sisi nimaholo yani hata nguruwe poli wanatuona Mavi tu, haiwezekani upuuzi unaendelea sisi Tupo kama matahila vile, vitu vinapanda bei then jitu limepwata mubango eti mama amefungua nchi tunasajili [emoji90], utasikia manara nyokonyoko
 
Back
Top Bottom