Mpaka mihogo ya chips dume ikikosekana huko Bungu na Msanga ndio watu watapata kujua hali sio nzuri kitaa !!!Sio tu nguruwe, hawa ni poop hayana akili, halafu mishabiki ipoipo tu kama mazezeta, badala wapaze sauti maisha ni magumu tumieni fursa za mipira kumwambia Rais kuwa huku mitaani hali ngumu kama hawezi kuzuia kupanda kwa bidhaa ajihuzuru yenyewe hayawezi yanafura tu. Matahila kabisa
Yanasikia basi haya masokweKitendo cha CCM kujiingiza kwenye soka inakosea sana. CCM acheni tabia hiyo si njema
Sio kwa bongo hii, yani watanzania hatuna Meno ya kung'ata hata serikali iseme chochote kibovu wengi wanabaki kulalamika mitandaoni na Vyumbani tuMpaka mihogo ya chips dume ikikosekana huko Bungu na Msanga ndio watu watapata kujua hali sio nzuri kitaa !!!
Umesahau ya chadema na katiba mupya mwanza?Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Hukuona walitaka kuzuiliwa? Kwanza hawakubeba mabango ya chama yenye nembo ya mpiraUmesahau ya chadema na katiba mupya mwanza?
Wanahamasisha sensa..Kama una chuki na serikali Hilo ni lakoSoka na siasa wapi na wapi?
Katika hizo timu kuna watu wa kazi maalum kama ilivyo kwenye mikutano, mijadala ya media, na hafla nyingi za kijamii.CCM wamepoteza ushawishi kwenye njia sahihi ya kisiasa, sasa wanatumia hizo njia kulazimisha kuonekana wana ushawishi kwa umma. Hivi leo bendera za CDM zikianza kuingizwa huko kwenye soka, utasikia acheni kuchanganya soka na siasa. Na usishangae ikatungwa sheria kali kuhusu matumizi ya siasa ndani ya soka.
Umegusa penyewe, nahapo kwenye mashabiki wapo mamluki hapa naongea walioingia kama mashabiki wa timu flani kumbe ni maccm halafu Kuna mashabiki wa timu wenyewe ambao nao pia wataungana kukuzonga wewe mwenye bendera ya CDM ili tu kufrahisha viongozi wao wa mpira kama manara na GSM maana ndomifisiemu yenyewe. Hapo ndipo utajuta kuzaliwa kwenye hili Taifa la ukuda [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Katika hizo timu kuna watu wa kazi maalum kama ilivyo kwenye mikutano, mijadala ya media, na hafla nyingi za kijamii.
Atakayeingia uwanjani na bendera za CDM na msafara wake ataanzishiwa vagi na “mashabiki” kisha kuzolewa na polisi na kufunguliwa chaji ya kutaka kufanya ugaidi kwenye mechi ya wananchi kulingana na intelijensia makini inayofuatiliwa na jeshi kakamavu - sio kwa kuja na bendera za CDM.
Hii ndio Tanzania ya leo. Ukiwa mshabiki au msemaji mwenye kelele nyingi hakikisha unakuwa upande sahihi - kwa afya yako.
Hili Taifa sijui tulimkosea nini mwenyezi MunguPoleni mnaoshabikia. Professionalism Kwa Tz itachukua karne mbele.
Ilianza Rushwa, sasa Uchawa
Kwani tuna serikali kwenye nchi hiiWanahamasisha sensa..Kama una chuki na serikali Hilo ni lako
Kwani haya mabango yameanza Leo, yale ya 2021 yalihamasisha sensa pia au yalihamasisha kipipinyo chako. Lipicha la kinana ni sensa nayo, mama anaupiga mwingi hiyo ni sensa!? Au kisa umekiona kibango kimoja tu kimeandikwa neno sensa basi umeruka nacho. Idiot [emoji35]Wanahamasisha sensa...
Haya mabango ni ishara wtz tuna akili ndogo sana. Yani hatuwezi kufanya jambo lolote bila unafiki na kulamba watu miguu!!!?? katika nchi za maziwa makuu wajinga wengi wapo tzHaya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Hatuna...na mafuta yakipanda utailaumu serikali ambayo haipo,una kinyesi kichwaniKwani tuna serikali kwenye nchi hii
Ni wapi umeiona picha ya Simba hapo? sema Yanga Utopolo ndio mazwazwaNdo maana yanafungwa, hizi timu Hasa simba na yanga zinaleta zinaleta siasa kwenye soka BILA kujali kwamba katika mashabiki wao wengine hawana vyama na wengine wanaitikadi na tofauti za vyama, shame on them