Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

Sio tu nguruwe, hawa ni poop hayana akili, halafu mishabiki ipoipo tu kama mazezeta, badala wapaze sauti maisha ni magumu tumieni fursa za mipira kumwambia Rais kuwa huku mitaani hali ngumu kama hawezi kuzuia kupanda kwa bidhaa ajihuzuru yenyewe hayawezi yanafura tu. Matahila kabisa
Mpaka mihogo ya chips dume ikikosekana huko Bungu na Msanga ndio watu watapata kujua hali sio nzuri kitaa !!!
 
Mpaka mihogo ya chips dume ikikosekana huko Bungu na Msanga ndio watu watapata kujua hali sio nzuri kitaa !!!
Sio kwa bongo hii, yani watanzania hatuna Meno ya kung'ata hata serikali iseme chochote kibovu wengi wanabaki kulalamika mitandaoni na Vyumbani tu
 
Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Umesahau ya chadema na katiba mupya mwanza?
 
Usimba uyanga ndiyo inatumika
Kuwa hadaa watu
Hapo watu wakishapelekewa matamaha hayo wana sahau shida zote....
Sahvi wameongezea wasanii wa mziki pia....
We huoni bongo kuanzia asubuhi mpaka usiku watu ni ubishi simba yanga

Ova
 
CCM wamepoteza ushawishi kwenye njia sahihi ya kisiasa, sasa wanatumia hizo njia kulazimisha kuonekana wana ushawishi kwa umma. Hivi leo bendera za CDM zikianza kuingizwa huko kwenye soka, utasikia acheni kuchanganya soka na siasa. Na usishangae ikatungwa sheria kali kuhusu matumizi ya siasa ndani ya soka.
Katika hizo timu kuna watu wa kazi maalum kama ilivyo kwenye mikutano, mijadala ya media, na hafla nyingi za kijamii.

Atakayeingia uwanjani na bendera za CDM na msafara wake ataanzishiwa vagi na “mashabiki” kisha kuzolewa na polisi na kufunguliwa chaji ya kutaka kufanya ugaidi kwenye mechi ya wananchi kulingana na intelijensia makini inayofuatiliwa na jeshi kakamavu - sio kwa kuja na bendera za CDM.

Hii ndio Tanzania ya leo. Ukiwa mshabiki au msemaji mwenye kelele nyingi hakikisha unakuwa upande sahihi - kwa afya yako.
 
Sisi mashabiki wa simba wala hatujali hata kama wakivaaa sare za CCM uwanjani.

Trh 13 lazima tulipize kisasi uto wasituzoeee
 
Katika hizo timu kuna watu wa kazi maalum kama ilivyo kwenye mikutano, mijadala ya media, na hafla nyingi za kijamii.

Atakayeingia uwanjani na bendera za CDM na msafara wake ataanzishiwa vagi na “mashabiki” kisha kuzolewa na polisi na kufunguliwa chaji ya kutaka kufanya ugaidi kwenye mechi ya wananchi kulingana na intelijensia makini inayofuatiliwa na jeshi kakamavu - sio kwa kuja na bendera za CDM.

Hii ndio Tanzania ya leo. Ukiwa mshabiki au msemaji mwenye kelele nyingi hakikisha unakuwa upande sahihi - kwa afya yako.
Umegusa penyewe, nahapo kwenye mashabiki wapo mamluki hapa naongea walioingia kama mashabiki wa timu flani kumbe ni maccm halafu Kuna mashabiki wa timu wenyewe ambao nao pia wataungana kukuzonga wewe mwenye bendera ya CDM ili tu kufrahisha viongozi wao wa mpira kama manara na GSM maana ndomifisiemu yenyewe. Hapo ndipo utajuta kuzaliwa kwenye hili Taifa la ukuda [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wanahamasisha sensa...
Kwani haya mabango yameanza Leo, yale ya 2021 yalihamasisha sensa pia au yalihamasisha kipipinyo chako. Lipicha la kinana ni sensa nayo, mama anaupiga mwingi hiyo ni sensa!? Au kisa umekiona kibango kimoja tu kimeandikwa neno sensa basi umeruka nacho. Idiot [emoji35]
 
Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Haya mabango ni ishara wtz tuna akili ndogo sana. Yani hatuwezi kufanya jambo lolote bila unafiki na kulamba watu miguu!!!?? katika nchi za maziwa makuu wajinga wengi wapo tz
 
Ndo maana yanafungwa, hizi timu Hasa simba na yanga zinaleta zinaleta siasa kwenye soka BILA kujali kwamba katika mashabiki wao wengine hawana vyama na wengine wanaitikadi na tofauti za vyama, shame on them
Ni wapi umeiona picha ya Simba hapo? sema Yanga Utopolo ndio mazwazwa
 
Back
Top Bottom