Haya mabus ya Simba mbona bodi zake za kishamba kushamba tu? Huwa hamuoni mabus ya Ulaya?

aya nyie mautopolo tuoneshenj basi hilo la kwenu G7 tulione
 
Yashafika mbasi matano week ijayo mkataba na kampuni ya boat kabisa maana angani n ardhini tayari
 
Na basi mazuri sana

Super luxury
 
Ayo mabasi ya mkopo uwezi kumpangia mtu anaekupa kitu chenye makandokando kwamba akupe kizuri, ukimiliki mbumbumbu wanne nyumbani kwako ujue ni hasara kubwa sana
 
Kuna utani na kuna ujinga,hili la Scania Irizar Utopoloni ni ujinga,sasa why nipoteze muda wangu kubishana.
Lakini Tata zenu ni ujanja.
Mama kolo utakufa kwa wivu huu mwaka subiri leo tufumue pale aliposhona beleke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…