Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanakuambia la kwao yako mawili tu duniani wao na Rael madrid.aya nyie mautopolo tuoneshenj basi hilo la kwenu G7 tulione
Na basi mazuri sanaBinafsi sifurahishwi na muundo wa bodi za mabus wanayopewa Simba.
Haya mabodi yamekaa kishamba sana.Utaona hakuna ubunifu sehemu ya mbele ubavuni.Ni kama nafasi ilibaki wazi wakaanza kuweka viraka.
Hebu angalieni hata muundo wa mabus ya mwendokasi mwonekano wake kwa nje ni mzuri sana.Kukubali kununua au kupewa bus aina ya Tata ni kushusha hadhi ya timu na kuwatangazia tu biashara yao ya mabus ya kishamba shamba namna ile
kunywa sumu kama unabisha kolo
Ayo mabasi ya mkopo uwezi kumpangia mtu anaekupa kitu chenye makandokando kwamba akupe kizuri, ukimiliki mbumbumbu wanne nyumbani kwako ujue ni hasara kubwa sanaBinafsi sifurahishwi na muundo wa bodi za mabus wanayopewa Simba.
Haya mabodi yamekaa kishamba sana.Utaona hakuna ubunifu sehemu ya mbele ubavuni.Ni kama nafasi ilibaki wazi wakaanza kuweka viraka.
Hebu angalieni hata muundo wa mabus ya mwendokasi mwonekano wake kwa nje ni mzuri sana.Kukubali kununua au kupewa bus aina ya Tata ni kushusha hadhi ya timu na kuwatangazia tu biashara yao ya mabus ya kishamba shamba namna ile
Lakini Tata zenu ni ujanja.Kuna utani na kuna ujinga,hili la Scania Irizar Utopoloni ni ujinga,sasa why nipoteze muda wangu kubishana.
Hizo takataka hata yeye huwa hanywikunywa Mo Energy kuboost akili yako ndogo
Yanga ana Marcopolo Irizar sasa nenda ka goggle manufacturer ni kampuni gani
Bwana Kingai, vipi mchakato wa PGO na wale watuhumiwa wako feki wa ugaidi, unaendeleaje?Aibu hii.
Kichaa huwa anaanza mapema kuwaona wenzie vichaaSasa hapa nitaonekana nabishana na kichaa.