mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ufaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa nguvu!!
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa nguvu!!
- The violence began when police shot dead a 17-year-old boy during a traffic stop.
Curfew announced on outskirts of Paris
With authorities anticipating another night of violence, it's just been announced that there'll be curfews in some areas of Paris - on top of the closure of tram and bus services.