mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ata huku hili la Bandary tumepishana nalo tu....ila.siku hipo lazima kinukeUfaransa ni moja kati ya Nchi za Magharibi inayokabiliwa na hali ngumu sana ya kiuchumi
watu huko wanahitaji tukio lolote kuonesha hasira zao kwa Mamlaka za Nchi
Kama wao ni mabeberu basi nyie ni majike mnazalishwa kwa hiariUfaransa kuna machafuko makubwa ya ,maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17!! Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa!! Fujo usiku kucha!! Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa nguvu!!
- The violence began when police shot dead a 17-year-old boy during a traffic stop.
Curfew announced on outskirts of Paris
With authorities anticipating another night of violence, it's just been announced that there'll be curfews in some areas of Paris - on top of the closure of tram and bus services.
Shida Urusi na China hawachelewi kusingizia mkono wa mabeberu kana kwamba hawaelew malalamiko ya wananchi waoUfaransa kuna machafuko makubwa ya ,maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17!! Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa!! Fujo usiku kucha!! Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa nguvu!!
- The violence began when police shot dead a 17-year-old boy during a traffic stop.
Curfew announced on outskirts of Paris
With authorities anticipating another night of violence, it's just been announced that there'll be curfews in some areas of Paris - on top of the closure of tram and bus services.
Ila South Africa naona wanaiheshimu kwa kiasi fulani sijajua kwa nini!!Nimekuwa nikiangalia Western media kama vile BBC ,DW CNN,SKY NEWS,FRANCE 24. Vyombo vyote hivi vina ajenda moja kushambulia,kukosoa,kudhihaki,kupaka matope taifa au mtawala anayeenda tofauti na sera au ajenda zao. Lakini pia ni kukuza mabaya ya mataifa mengine.
Kwa kinachoendelea Ufaransa jamaa hawezi kukiweka kama ingekuwa China,Russia,Iran,n.k. Sasa hivi wanaiandama South Africa Kwa mbali.
Kwa sababu ipo kwenye non alignment countries alafu wazungu wengi waliopo AFRIKA kusini ni wadachi (Makaburu).Ila South Africa naona wanaiheshimu kwa kiasi fulani sijajua kwa nini!!
Kwani Urusi ameshazoea kuuawa watoto Ukraine kila kukichaUfaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa nguvu!!
- The violence began when police shot dead a 17-year-old boy during a traffic stop.
Curfew announced on outskirts of Paris
With authorities anticipating another night of violence, it's just been announced that there'll be curfews in some areas of Paris - on top of the closure of tram and bus services.
Haya maandamano yangetokea Urusi au china mngesema kuna mkono wa Magharibi au MarekaniUfaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa nguvu!!
- The violence began when police shot dead a 17-year-old boy during a traffic stop.
Curfew announced on outskirts of Paris
With authorities anticipating another night of violence, it's just been announced that there'll be curfews in some areas of Paris - on top of the closure of tram and bus services.
kwa hiyo wanao andamana na kuvhoma moto na kuharibu nchi ni wahamiaji ...eti..Tatizo la Ufaransa ni wahamiaji wengi
bangi ya arusha ni kali sana nakushauri iache...Shida Urusi na China hawachelewi kusingizia mkono wa mabeberu kana kwamba hawaelew malalamiko ya wananchi wao
nyumbu kwenye ubora wako...Ufaransa inakabiliwa na uhamiaji haramu wa waarabu
Popote alipo mwarabu tegemea machafuko
Washangilie sasa tuone furaha yao ambayo tungeiona yangetokea RussiaUfaransa kuna machafuko makubwa ya, maandamano, yaliyotokana na polisi kumwua kwa risasi mtoto wa miaka 17.
Usafiri wa mabasi na treni umesitishwa. Fujo usiku kucha. Laiti kama haya yangetokea China au Urusi, mabeberu wa nchi za magharibi wangefurahia sana na kudai utawala wa "mabavu" umeishiwa nguvu!!
- The violence began when police shot dead a 17-year-old boy during a traffic stop.
Curfew announced on outskirts of Paris
With authorities anticipating another night of violence, it's just been announced that there'll be curfews in some areas of Paris - on top of the closure of tram and bus services.
Mfano wa Sera na ajenda za Western ni zipi??Nimekuwa nikiangalia Western media kama vile BBC ,DW CNN,SKY NEWS,FRANCE 24. Vyombo vyote hivi vina ajenda moja kushambulia,kukosoa,kudhihaki,kupaka matope taifa au mtawala anayeenda tofauti na sera au ajenda zao. Lakini pia ni kukuza mabaya ya mataifa mengine.