Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #21
Yani tuwe makini soteHUWENDA YAMEONGEZEWA VIRUTUBISHO kuwa makini ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani tuwe makini soteHUWENDA YAMEONGEZEWA VIRUTUBISHO kuwa makini ndugu
Safarini wapi? Barakuda (Tabata)hapo jamaa katega meza yake. Na si sehemu moja. Kila utakaponunua machungwa %kubwa yako hiviHayo utakuwa ulinunua ukiwa safarini.
Nimachungwa makubwa af ndani makavu ilishanikuta hiyo stendi ya Msamvu. nilinunua zaidi ya kumi nikaja yatupa home.
kifupi Nilibebeshwa taka toka moro kuja kuzitupia temeke.