Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Nilitaka kusema hivi piaAI hiyo zz ww
Nilitaka kusema hivi piaAI hiyo zz ww
Ila sasa, kulikunja ukiwa kimbau mbau ni mtihani sana, utaishia 'kuliua' kwa kifo cha mende.Dah yemenona
Atakua analia kijapan..Dah mkuu usingesema hivyo nateseka huku mawazo yamefika mbali muno
Kumbe unaangalia bwambwa?, kikikikiNimevutiwa nayo haswa hivi nataka nifunge safari kwenda Korea nikalipate hata moja nirudi nalo bongo,licha ya kuwa ma-giant ni marembo haswa,sio wanawake wetu wenye udumavu huu upwiru unatutesa mno
View attachment 3316747
View attachment 3316752
View attachment 3316755
Kuanzia bwambwa mpaka mipajaKumbe unaangalia bwambwa?, kikikiki
Aisee jamaa mbona unaizima ndoto yangu ya kwenda kuishi korea kutekwa tutekwe,kuuwawa tuuwawe na peponi hamna vitu vizuri kama hivi.Dah Hali ni mbaya sana TZ Hadi vikatuni tunavitamani, ndo maana Kuna watu mungu hawezi kuwapa nafasi ya kwenda Ulaya maana anawajua jinsi walivyo wasije wakaozea jela.