Haya madaraja mapya kwa mitihani ya kidato cha nne: Kuboresha kiwango cha elimu inchi

Sikumaanisha zipenguzwe au ziongezwe, point yangu ni kutaka kujua sababu kuu za kupandisha hizo grade za ufaulu wa wanafunzi.

Lengo lao hasa ni nini?
a) kufanya wanafunzi wasome sana?
b) kupunguza/kuongeza idadi ya ufaulu?
c) walimu wajitaidi kufundisha zaidi?
 
Hapa ni sawa ni kuzigeuza DIV IV za zamani na kuziweka ktk kundi la zero ,mwaka huu ilikuwa ni trailer tu , mwakani 80/90 watakuwa failure , DIV 0 , inasikitisha sana aiseee , sijui tunatengeneza Taifa gani ?
Hata hivyo NECTA wao wana evaluate tu umbumbu wetu , wakalaumiwa hapa ni wadau wengine ( wizara husika , wazazi na wanafunzi wenyewe)
 
BTW , Kama una ndugu yako ameumua kurudia pepa mwaka huu ,na ana DIV IV batilishine huo uamuzi , mpelekeni kuanza diploma au certificate ya kozi mbalimbali vyuoni , sababu mwakani mambo yatakuwa worse.
Hizi grades zinanikumbusha A-level , ilikuwa kutoka C hadi E ni kitu kidogo tu .
 
Wadau,
Amini nawaambieni, haya madaraja yameanza kutumika kitambo tu. Na ndio mojawapo ya fail nyingi za form 4.

Hii ni siri iliyoko ndani ya baraza!!
 
Sasa inabidi wajee na solution ya kujaza nafasi za wanafunzi wapya wa kidato cha 5 maana idadi inaonesha wazi kuwa ni wachache sana.

Suluhu sahisi ni kutekeleza pendekezo la Mrisho Mpoto "bora madarasa wafugie kuku".
kama madaraja haya ni sahihi, Elimu ya Tanzania itakuwa ghali kuliko dhahabu. Hivyo, wataipata wenye nguvu.
- kutakuwa na 'uhalifu' wa hali ya juu dhidi ya miihani, kama vile wizi wa mitihani n.k.
- kama serikali isipoimarisha shule zake, wazazi hawatokubali kupeeka watoto wao.
- n.k.
Mpaka sasa iyaamini haya madaraja mapya.
 
Sijakosea boss. Kwa maoni yangu lengo la hizi grades ni kuwafanya wanafunzi wajitume-wasomena kwa bidii. sekondari siyo sehemu ya kukuzia vijana bali kusoma na kuelimika

Mkulu

Naomba kutofautiana na wewe...huku Mchikichini ...mazingira ya shule zetu, stahili za walimu pamoja na vitendea kazi ni duni sana tofauti ukilinganisha na hapo seattle USA

Mkulu

Naomba kutofautiana na wewe...huku Mchikichini ...mazingira ya shule zetu, stahili za walimu pamoja na vitendea kazi ni duni sana tofauti ukilinganisha na hapo seattle USA

Lakini hizo zisiwe vigezo vya kuwafaulisha hata wanafunzi wasiostahili
 
Mkulu

Naomba kutofautiana na wewe...huku Mchikichini ...mazingira ya shule zetu, stahili za walimu pamoja na vitendea kazi ni duni sana tofauti ukilinganisha na hapo seattle USA

Mkuu kutofikia ubora haimaanishi ushushe viwango vya ubora kwasababu huna walimu, vitendea kazi duni nk kumbuka elimu inayotolewa Tanzania haitumiki hapo tu inatumika dunia nzima, hakuna haja ya kuwa na alama za chini ili wafaulu wengi wakati hawana uwezo.
 
baadala ya kuanza kuboresha mazingira ya kufundishia ikiwemo kuwaongezea waalim mishahara, wanaongeza madaraja.....MASKINI WATANZNIA SISI!!!!
Hivyo ulivyovitaja hapo juu vinahusiana nini na passmarks? maana naona unazungumzia jinsi ya kupata hizo passmarks ukumbuke passmarks ni kitu lazima standard maana elimu itokanayo haitumiki Tanzania pekeee
 
Considering the two colored sentences, do you think what you write or you write what you think?? if i may ask? make anona umeuliza na kujijibu.......kitu muhimu kwanza kabla ya kuweka standards wangetengeneza mazingira mazuri ya kupata hizo standards....sasa mtu hana walimu hana vitabu hana maabara...afu unamwambia A=80%-100%. mi nafikiri wangedefine hizo garade kwa wanafunzi wa st za kwetu (kayumba) na wale wa st za kwao...(marys', maua and the like)....
 
Mkuu, hapo umekosea, jaribu kutetea majority ambao kiwango chao cha uelewa ni mdogo.

Hapo kwenye hizo grade za F na D

Lengo lako tuwe na wasomi vilaza wasio na uwelewa wa kutosha au kuwatetea wengi ili iweje? bora wasomi wachache wenye uwelewa kuliko wasomi wengi wasio nauelewa.
 
Je alama zimeshushwa? Au je mimi sijaelewa unamaanisha nini?
 
Duh bora nilisoma zamani,kwa hiki kichwa changu nnavyokijua....ningereseat zaidi ya mara 7
 
Wadau,
Necta wanasema hizi grade zimeanza tumika tokea 1984 wenyewe wanashanga hizo nyengine walimu wamezitolea wapi?
 
Lengo lako tuwe na wasomi vilaza wasio na uwelewa wa kutosha au kuwatetea wengi ili iweje? bora wasomi wachache wenye uwelewa kuliko wasomi wengi wasio nauelewa.

hiyo ni sawa na kutuambia sisi wa huku st kayumba tuwaozeshe tu wanetu coz kiukweli kufaulu kwa hizo passmarks ni ngumu sana.hizo za mwanzoni tu unakuta shule kibao aliyefaulu sana ana div 3 sasa kwa hizo mpya kipanga si ndo ataibuka na div 4?
 
Wadau,
Necta wanasema hizi grade zimeanza tumika tokea 1984 wenyewe wanashanga hizo nyengine walimu wamezitolea wapi?

Hili nalo neno,
Kama hizi grade zilianza kutumika tangu enzi (1984) kwanini wanafunzi (wahitimu) na walimu kwa pamoja walikuwa wanajua tofauti na hizi?

Na kwanini ilifanywa siri yakuto uelemisha au kuuhabarisha UMMA wa waTZ juu ya hili?
 
hiyo ni sawa na kutuambia sisi wa huku st kayumba tuwaozeshe tu wanetu coz kiukweli kufaulu kwa hizo passmarks ni ngumu sana.hizo za mwanzoni tu unakuta shule kibao aliyefaulu sana ana div 3 sasa kwa hizo mpya kipanga si ndo ataibuka na div 4?

Mkuu siku zote usidhani kuna kuna waliozaliwa wawe wa kwanza, ni jitihada, mipango na utekelezaji tu. tukiamua twaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…