kipenga
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 219
- 55
- Thread starter
- #21
HUWEZI KUPANGA GRADES ZA UFAULU WA WANAFUNZI KWA VIGEZO VYA MIGOMO YA WALIMU, UKOSEFU AU UPUNGUFU WA WAALIMU, VIFAA VYA KUFUNDISHIA, i.e MATATIZO YANAYOISIBU wizara YA ELIMU ETC . GRADES ZINATAKIWA ZI-REFLECT UELEWA WA WANAFUNZI KATIKA NGAZI HUSIKA- IRRESPECTIVES OF THE PREVAILING PROBLEMS FACING THE EDUCATION SYSTEM. KWAMBA GRADES ZIPANGUZWE/ZISHUSHWE KWA SABABU KUNA MATATIZO KWENYE WIZARA YA ELIMU IS RIDICULOUS
Sikumaanisha zipenguzwe au ziongezwe, point yangu ni kutaka kujua sababu kuu za kupandisha hizo grade za ufaulu wa wanafunzi.
Lengo lao hasa ni nini?
a) kufanya wanafunzi wasome sana?
b) kupunguza/kuongeza idadi ya ufaulu?
c) walimu wajitaidi kufundisha zaidi?