Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Naona kama F zitaongezeka...
Hili nalo neno,
Kama hizi grade zilianza kutumika tangu enzi (1984) kwanini wanafunzi (wahitimu) na walimu kwa pamoja walikuwa wanajua tofauti na hizi?
Na kwanini ilifanywa siri yakuto uelemisha au kuuhabarisha UMMA wa waTZ juu ya hili?
Mkuu, hapo umekosea, jaribu kutetea majority ambao kiwango chao cha uelewa ni mdogo.
Hapo kwenye hizo grade za F na D
Nadhani wewe unashindwa kuelewa nini maana ya standards, kitu kinaitwa standard ni lazima wewe muhusika ukifikie haijalishi upo kwenye mazingira gani, na ndio maana nikasema elimu hiyo tunayoipata tazania haitumiki hapo tu, sasa ukisema tuangalie mazingira yetu ndio tujitengenezee passmarks huoni tutakuwa tunajdanganya?Considering the two colored sentences, do you think what you write or you write what you think?? if i may ask? make anona umeuliza na kujijibu.......kitu muhimu kwanza kabla ya kuweka standards wangetengeneza mazingira mazuri ya kupata hizo standards....sasa mtu hana walimu hana vitabu hana maabara...afu unamwambia A=80%-100%. mi nafikiri wangedefine hizo garade kwa wanafunzi wa st za kwetu (kayumba) na wale wa st za kwao...(marys', maua and the like)....
Sikubaliani na wewe kwamba tuna tatizo la uelewa wa wanafunzi -- ingawa linaweza kuwa ni tatizo mojawapo kupelekea matokeo mabovu, lakini sio tatizo kuu.
Umewahi kufikiria kuhusu nafasi ya lugha ya kujifunzia na kufundishia na namna lugha hiyo inavyoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kujieleza na kuelewa anachofundishwa? Kwa nini tusianzie hapo?
View attachment 88232
Unataka waje kuwa kama Mulugo? Huwo mchujo safi sana tutapata wanafunzi bright in future kuliko wa sasa.Mkuu, hapo umekosea, jaribu kutetea majority ambao kiwango chao cha uelewa ni mdogo.
Hapo kwenye hizo grade za F na D
MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE:
Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:
A = 81%-100%-
B = 61%-80%-
C = 41%-60%-
D = 21%-40%-
F = 0%-20%-
Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:
A = 80%-100%-
B = 65%-79%-
C = 50%-64%-
D = 35%-49%-
F = 0%-34%-
Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo.
Nini Maoni yoke. . .

Sikumaanisha zipenguzwe au ziongezwe, point yangu ni kutaka kujua sababu kuu za kupandisha hizo grade za ufaulu wa wanafunzi.
Lengo lao hasa ni nini?
a) kufanya wanafunzi wasome sana?
b) kupunguza/kuongeza idadi ya ufaulu?
c) walimu wajitaidi kufundisha zaidi?