Haya maelezo yanaonesha uimara wa Israel au udhaifu wa Iran?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana.

Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha kuipeleleza Israel, lakini mwisho wa siku wakaja gundua kuwa kiongozi wa kitengo hicho ni mtu wa MOSSAD.

Sasa tena inasemekana kuwa kiongozi wa kikosi Cha mapambano ndani ya Jeshi la Iran maarufu kama Quds, naye anatuhumiwa kuwa ni mtoa taarifa za siri kwa Israel.

Anayetuhumiwa safari hii ni Jenerali Is
Your browser is not able to display this video.

maili Ghani. Hebu sikiliza hii Clip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…