Kuhusu maembe yasiyo na kokwa, ukweli ni kwamba hakuna embe lenye asili ya asili ambalo halina kokwa kabisa. Hata hivyo, wanasayansi wamefanikiwa kuzalisha aina maalum ambazo zina kokwa ndogo sana na nyembamba kiasi kwamba inaonekana kama hazipo.
Halina mzuka naona kama nakula AI. Mi ata kuku broilers sili. Mayai ya kisasa sili. Basi tu nimejiwekea najua nakula sumu kwingine ila izo hapanaKwa nini?
Yes ,yapo kitambo.Ndimu, machenza na machungwa yasiyo na mbegu muda mrefu sana yapo.
Pia kuna watu wanasema gari ambayo sio manual haendeshi.Halina mzuka naona kama nakula AI. Mi ata kuku broilers sili. Mayai ya kisasa sili. Basi tu nimejiwekea najua nakula sumu kwingine ila izo hapana
Acheeni uongo hizo ndizi za mbegu kubabek hazijawahi kuwepo labda ni madude mengine mimi kuishi kwangu kote sijawahi kutana na ndizi ina mbegu yaan waache kufanyia engineering matunda km mafenesi wafanyie kwenye ndizi eti waondoe mbegu tuache uongo
Wewe umeishi duniani muda mfupi sanaAcheeni uongo hizo ndizi za mbegu kubabek hazijawahi kuwepo labda ni madude mengine mimi kuishi kwangu kote sijawahi kutana na ndizi ina mbegu yaan waache kufanyia engineering matunda km mafenesi wafanyie kwenye ndizi eti waondoe mbegu tuache uongo
Oya sitaki kusikia habari za uongo km hizi. Yaan utataka kutuambia Viazi vitamu navyo ndani vilikua na mbegu punguzeni uongo mwisho ni kutuambia mihogo nayo ina mbegu ndani ila imefanyiwa GMO sasa haina mbegu inaota mizizi acheni basiWewe umeishi duniani muda mfupi sana
Mkuu, huku nilipo kuna migomba ambayo wenyeji wanaita migomba pori, inazaa vindizi vidogo vidogo vyenye mbegu nyeusi kama hizo. Huwa inaota yenyewe baada ya kusambaa kwa mbegu na shina la mgomba huwa nene sana.Acheeni uongo hizo ndizi za mbegu kubabek hazijawahi kuwepo labda ni madude mengine mimi kuishi kwangu kote sijawahi kutana na ndizi ina mbegu yaan waache kufanyia engineering matunda km mafenesi wafanyie kwenye ndizi eti waondoe mbegu tuache uongo
Piga picha huo mgomba na ndizi husika tuwekee hapa usije ukawa upo sayari nyingine mwisho mtaanza kutuambia kuna nazi zilikua na mbegu ndani zikafanyiwa GMO sasa hivi nazi zote ndani zinakua na maji baada ya kuingizwa maabaraMkuu, huku nilipo kuna migomba ambayo wenyeji wanaita migomba pori, inazaa vindizi vidogo vidogo vyenye mbegu nyeusi kama hizo. Huwa inaota yenyewe baada ya kusambaa kwa mbegu na shina la mgomba huwa nene sana.
Fuatilia vizuri,Oya sitaki kusikia habari za uongo km hizi. Yaan utataka kutuambia Viazi vitamu navyo ndani vilikua na mbegu punguzeni uongo mwisho ni kutuambia mihogo nayo ina mbegu ndani ila imefanyiwa GMO sasa haina mbegu inaota mizizi acheni basi