Haya maembe yasiyo na kokwa/mbegu yakifika bongo washamba hawatasema ni freemason au GMO?

Haya maembe yasiyo na kokwa/mbegu yakifika bongo washamba hawatasema ni freemason au GMO?

Oya sitaki kusikia habari za uongo km hizi. Yaan utataka kutuambia Viazi vitamu navyo ndani vilikua na mbegu punguzeni uongo mwisho ni kutuambia mihogo nayo ina mbegu ndani ila imefanyiwa GMO sasa haina mbegu inaota mizizi acheni basi
Wajinga kama nyie ndio mnaamini kupotea kwanyeti ukishikwa bega ila mambo halis mnabisha
 
Back
Top Bottom