AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Apr 30, 2026 #21 Yoda said: Fuatilia vizuri, Click to expand... Bado haujanishawishi
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Apr 30, 2026 #22 Maembe ya AI hayo
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Apr 30, 2026 #23 Hatari na nusu Kazi ni kipimo cha utu
Kichogo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 2,472 Reaction score 3,927 Apr 30, 2026 #24 VERBOSE said: Oya sitaki kusikia habari za uongo km hizi. Yaan utataka kutuambia Viazi vitamu navyo ndani vilikua na mbegu punguzeni uongo mwisho ni kutuambia mihogo nayo ina mbegu ndani ila imefanyiwa GMO sasa haina mbegu inaota mizizi acheni basi Click to expand... Wajinga kama nyie ndio mnaamini kupotea kwanyeti ukishikwa bega ila mambo halis mnabisha
VERBOSE said: Oya sitaki kusikia habari za uongo km hizi. Yaan utataka kutuambia Viazi vitamu navyo ndani vilikua na mbegu punguzeni uongo mwisho ni kutuambia mihogo nayo ina mbegu ndani ila imefanyiwa GMO sasa haina mbegu inaota mizizi acheni basi Click to expand... Wajinga kama nyie ndio mnaamini kupotea kwanyeti ukishikwa bega ila mambo halis mnabisha