Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?

Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?


Chukua Tahadhali, Acha Hayo Makitu

Kuna Task Force Iliundwa Na Serikali Kukagua Kila Aina Ya Mafuta Na Ubora Wake Cha Ajabu Ni Kuwa Tuvumiliane Tu

Takataka Ni Nyingi Mno Hata Kule Sijui Sun Drop, Sun Flower
Hakuna Lolote
 
Wafanya biashara wa Dar sio wakuwapa dhamana kabisa, wako tayari kufanya chochote ili wapate hela.

Hapo usikute kaweka mafuta halisi ujazo wa kindude cha soda afu the rest ni mkojo.
 
Yatakuwa Yale ya kutoka Zanzibar yanapita hii pwani kuanzia kunduchi Hadi bagamoyo...
 
Wafanya biashara wa dar sio wakuwapa dhamana kabisa, wako tayari kufanya chochote ili wapate hela

hapo usikute kaweka mafuta halisiujazo wa kindude cha soda afu the rest ni mkojo
Mkuu mkojo? Sasa si itakuwa mikojo labda ya punda na ng'ombe yaani mifugo ama ya walevi?
 
Jana niliona buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli

Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana
Kwani huko kwenu bei ya mafuta kwa sasa ni ngapi?!!kwani kwa sasa sehemu nyingi hiyo ndio bei yake, na mbagala hata 4000, unapata.
 
Nahisi wauza chips wanapikia hayo ya bei chee yamechakachuliwa maana chips siku hizi ukila magas kama yote
 
Back
Top Bottom