Simba?Kampuni ina jina la mnyama na inamalizikia na Bio Product.
Nadhani nimeshindwa kutofautisha hotel na migawa ya uswahilini, kifupi Kwa kukusaidia Hamna hotel inapika chakula bila order. Hotel ina menu ya kila siku vyakula huandaliwa kulingana na menu, narudia huandaliwa na si kupikwa, hupikwa Tu pale mgani atakapothibitisha kuwa atakula. Nadhani mpaka hapo utakuwa umeelewa naongelea nini! Na utakuwa umeelewa tofauti ya hotel, mgahawa na mama ntilie, najua huko kijijini kwenu hata ukijenga kibanda cha nyasi ukachemsha chai unaita hotelPilau ya hotelini ni wali uliochangamka uliolala ukachanganywa na viungo.
HapanaSimba?
Haya ndio matatizo ya kuja mjini ukubwani na kufundishwa kutumia vyoo vya kukalia na namna ya kutumia toilet paper though najua bado unabakiza chembechembe ya kinyesi katikati ya makalio yako.Nadhani nimeshindwa kutofautisha hotel na migawa ya uswahilini, kifupi Kwa kukusaidia Hamna hotel inapika chakula bila order. Hotel ina menu ya kila siku vyakula huandaliwa kulingana na menu, narudia huandaliwa na si kupikwa, hupikwa Tu pale mgani atakapothibitisha kuwa atakula. Nadhani mpaka hapo utakuwa umeelewa naongelea nini! Na utakuwa umeelewa tofauti ya hotel, mgahawa na mama ntilie, najua huko kijijini kwenu hata ukijenga kibanda cha nyasi ukachemsha chai unaita hotel
Ni dhambi kubwa mafuta unapoyachoma ndipo yanatoa sumu.Kuna technoligia kadhaa za kusafisha mafuta ya kula hili yatumike tena siyo dhambi mkuu
Siyo ya kujipaka, mafuta yanayotumika kukaangia huwa hayaishi na hubadilika rangi na kuwa mazito, mafuta hayo ukichanganya na vitu vingine unaweza ukayatumia kuendeshea mitambo kama ifanyavyo dizeli.Mafuta yanatumikaje alafu yabaki? Hii mpya
Ni mafuta ya kwenye chakula au ya kwenye generator?