Haya magari mapya ya polisi ni ya kivita kabisa. Yote haya ya nini?

Haya magari mapya ya polisi ni ya kivita kabisa. Yote haya ya nini?

Haziungui hizo armoured vehicles
Haha nani amekwambia, armoured haimaanishi haiwezi kuungua moto, kuna sehemu za gari lazima ziungue ikiwemo matairi, na zile sehemu karibu na tanki la mafuta, na kusababisha suffocation kwa watu waliomo ndan. Kuwa armoured ingesaidia kma watu wangekuwa na silaha (mfano bunduki)
 
Hivi huu uongozi wa huyu mama kuna fisadi hata mmoja amefunguliwa kesi??
 
Haha nani amekwambia, armoured haimaanishi haiwezi kuungua moto, kuna sehemu za gari lazima ziungue ikiwemo matairi, na zile sehemu karibu na tanki la mafuta, na kusababisha suffocation kwa watu waliomo ndan. Kuwa armoured ingesaidia kma watu wangekuwa na silaha (mfano bunduki)
Kwa hiyo hizo kama IST tuu?😀😀😀😀 tutakuja kuongea baada ya Chakula cha usiku tarehe 29/10.
 
Chupa za glass (soda na konyagi) zikijazwa petroli halafu zikarushwa kwenye haya magari, yataungua kama karatasi
 
Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa vitendea kazi vitakavyotumika kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao Mkoa wa Mbeya.
Mambo vipi mrembo?
 
Screenshot_2025-09-17-16-59-25-459_com.whatsapp.jpg
 
Kweli ukitaka ugomvi dai chako wahuni wameleta mpaka gari za deraya na kuna tetesi za mamluki kutoka Mu7 kuhakikisha wanabaki madarakani
 
Zinaitwa armoured vehicles hayo Risasi haipenyi itakua mawe ya makamanda?
Wakati wa maandamano watu hawatakiwi kutumia mawe. Maandamano yanapaswa kuwa ya amani. Sijui kwa Bongo lakini sehemu nyingine waandamanaji wanafunga barabara kwa moto. Wanawasha lundo la matairi wanaweka barabarani, haya magari hayasogei.
 
land crueser LC 300 za kivita tangu lini humo luxury la polisi lenye sura mbaya
 
Back
Top Bottom