Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Wewe utakuwa njagu,!,Tupe ukweli huku hutojulikana!Nimeona taarifa, IGP Wambura akikagua magari mapya waliyopewa na Serikali.
Je ndio homa ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imeanza kupanda?
Nakumbuka Kikwete aliwahi kununua magari 700 wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015.
View attachment 3318942View attachment 3318944View attachment 3318945
Halafu leo hawakwenda mahakamaniKuna zile nyeusi, aisee kali knoma, next time sitokuja keyboard fighter ili niende kwenye maandamano wanidake nipande humo 🔥
Hukwenda mahakamani leo1/3 ya bajeti ni ya kulinda CCM
1/3 wanagawana
1/3 miradi ya maendeleo
Kwamba wamemsaliti mwamba wao au ndo kama kawaida watu waliandamana online?Halafu leo hawakwenda mahakamani
Chadema bhana, shughuli zipo na zinaendelea tu kama kawaida.....hiyo kukutana na ratiba zingine ni coincidence tu. Mmevurugwa mpaka mnawaza uchaguzi tu muda wote. Halafu, si mmesema uchaguzi hakuna Sasa polisi wanunue magari kwa ajili ya uchaguzi ya nini' wakati nyie wajuzi na watemi mmeshasema hautokuwepo.Nimeona taarifa, IGP Wambura akikagua magari mapya waliyopewa na Serikali.
Je ndio homa ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imeanza kupanda?
Nakumbuka Kikwete aliwahi kununua magari 700 wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015.
View attachment 3318942View attachment 3318944View attachment 3318945
Nawashangaa hata mimiChadema bhana, shughuli zipo na zinaendelea tu kama kawaida.....hiyo kukutana na ratiba zingine ni coincidence tu. Mmevurugwa mpaka mnawaza uchaguzi tu muda wote. Halafu, si mmesema uchaguzi hakuna Sasa polisi wanunue magari kwa ajili ya uchaguzi ya nini' wakati nyie wajuzi na watemi mmeshasema hautokuwepo.
Hutaki geshi ra porisi kuwa vitendea kazi vyenye ufanisi na kufika eneo husika ra tukio kwa haraka...mambo ya kawaida hayo ni bongo tu kwenye upuuzi wa kuhoji maswara yasio na tija kwani ni mara ya kwanza porisi kuwa na magari mapya...Nimeona taarifa, IGP Wambura akikagua magari mapya waliyopewa na Serikali.
Je ndio homa ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imeanza kupanda?
Nakumbuka Kikwete aliwahi kununua magari 700 wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015.
View attachment 3318942View attachment 3318944View attachment 3318945
Hivi zile ni aina gani ya gari mkuuKuna zile nyeusi, aisee kali knoma, next time sitokuja keyboard fighter ili niende kwenye maandamano wanidake nipande humo 🔥
Dah Afu Ht sijawahi kuzifatlia khvyHivi zile ni aina gani ya gari mkuu
Landrover au
Ova
Ameshakuwa professor tena!?View attachment 3322902
Habari iliyowika mjini na mitandaoni ni 'upendo na wema; wa rais Mheshimiwa Daktari Profesa Samia Suluhu Hassan kulikumbuka jeshi la polisi. Mabilioni ya shilingi yameunguzwa kununua zana mpya kwa ajili ya jeshi la polisi hasa wakati huu linapoelekea kuwa na operesheni maalum kuelekea na wakati wa uchaguzi. Pamoja na 'upendo na wema' huu, wapo wanaojiuliza kama magari ya polisi ni muhimu kuliko ya wagonjwa, kumalizia vyumba vya madarasa, kuboreshe miundo mbinu chakavu na mengine mengi. Pia, wapo wanaohoji si ulazima tu wa zana hizi bali maana yake hasa wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi. Je polisi wanahitaji magari kwanza au hata nyumba za maana za kuishi wao na familia zao. Kwa habari zaidi TAFADHALI BONYEZA HAPA.
View attachment 3322903